Top 10 similar words or synonyms for momozono

sakuramachi    0.955277

fushimi    0.939091

kameyama    0.938254

ninko    0.929782

nakamikado    0.924038

fukakusa    0.922878

nijo    0.920670

chokei    0.920668

mizunoo    0.918354

tsuchimikado    0.915059

Top 30 analogous words or synonyms for momozono

Article Example
Momozono Momozono (14 Aprili 1741 – 31 Agosti 1762) alikuwa mfalme mkuu wa 116 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Toohito". Tarehe 9 Juni 1747 alimfuata baba yake, Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni dada yake, Go-Sakuramachi.
Go-Momozono Go-Momozono (5 Agosti 1758 – 16 Desemba 1779) alikuwa mfalme mkuu wa 118 ("Tenno") wa Japani. Alikuwa mtoto wa Mfalme Mkuu Momozono. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Hidehito". Tarehe 23 Mei 1771 alimfuata shangazi yake, Go-Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni Kokaku.
Go-Sakuramachi Go-Sakuramachi (23 Septemba 1740 – 24 Desemba 1813) alikuwa mfalme mkuu wa 117 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Satoko". Tarehe 15 Septemba 1762 alimfuata kaka yake, Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1771. Aliyemfuata ni mpwa wake, Go-Momozono.
Sakuramachi Sakuramachi (8 Februari 1720 – 28 Mei 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Teruhito". Tarehe 13 Aprili 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.
Kokaku Kokaku (23 Septemba 1771 – 11 Desemba 1840) alikuwa mfalme mkuu wa 119 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Morohito". Mwaka wa 1780 alimfuata mfalme mkuu Go-Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 7 Mei 1817. Aliyemfuata ni mwana wake, Ninko.