Top 10 similar words or synonyms for ninko

sakuramachi    0.935057

momozono    0.929782

nakamikado    0.926111

shijo    0.922823

hanazono    0.907746

tsuchimikado    0.907515

kashiwabara    0.907496

mizunoo    0.904492

shishkin    0.901889

lwoff    0.901242

Top 30 analogous words or synonyms for ninko

Article Example
Ninko Ninko (16 Machi 1800 – 21 Februari 1846) alikuwa mfalme mkuu wa 120 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Ayahito". Mwaka wa 1817 alimfuata baba yake, Kokaku, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Komei.
Komei Komei (22 Julai 1831 – 30 Januari 1867) alikuwa mfalme mkuu wa 121 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Osahito". Tarehe 10 Machi 1846 alimfuata baba yake, Ninko, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Mutsuhito.
Kokaku Kokaku (23 Septemba 1771 – 11 Desemba 1840) alikuwa mfalme mkuu wa 119 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Morohito". Mwaka wa 1780 alimfuata mfalme mkuu Go-Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 7 Mei 1817. Aliyemfuata ni mwana wake, Ninko.