Top 10 similar words or synonyms for mizunoo

komyo    0.958062

fushimi    0.957981

tsuchimikado    0.957713

fukakusa    0.946141

nijo    0.945793

kameyama    0.943226

meisho    0.941148

kashiwabara    0.936991

hanazono    0.928513

nakamikado    0.928236

Top 30 analogous words or synonyms for mizunoo

Article Example
Go-Mizunoo Go-Mizunoo (29 Juni 1596 – 11 Septemba 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Masahito". Mwaka wa 1611 alimfuata Go-Yozei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 22 Desemba 1629. Aliyemfuata ni binti wake, Meisho.
Meisho Meisho (9 Januari 1624 – 4 Desemba 1696) alikuwa mfalme mkuu wa 109 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Okiko". Tarehe 22 Desemba 1629 alimfuata baba yake, Go-Mizunoo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 14 Novemba 1643. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Komyo.
Go-Yozei Go-Yozei (31 Desemba 1572 – 25 Septemba 1617) alikuwa mfalme mkuu wa 107 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Kazuhito". Tarehe 17 Desemba 1586 alimfuata babu yake, Ogimachi, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Mei 1611. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Mizunoo.
Reigen Reigen (9 Julai 1654 – 24 Septemba 1732) alikuwa mfalme mkuu wa 112 ("Tenno") wa Japani. Baba yake alikuwa mfalme mkuu Go-Mizunoo. Tarehe 5 Machi 1663 alimfuata mfalme mkuu Go-Sai, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 2 Mei 1687. Mwaka wa 1713 akawa mtawa wa Buddha. Aliyemfuata kama mfalme ni mwana wake Higashiyama.