Top 10 similar words or synonyms for fushimi

nijo    0.966053

kameyama    0.963855

mizunoo    0.957981

tsuchimikado    0.956790

fukakusa    0.952375

komyo    0.939959

momozono    0.939091

chokei    0.933706

kashiwabara    0.931222

shijo    0.921950

Top 30 analogous words or synonyms for fushimi

Article Example
Go-Fushimi wa Japani Go-Fushimi (5 Aprili, 1288 – 17 Mei, 1336) alikuwa mfalme mkuu wa 93 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tanehito", na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Fushimi. Mwaka wa 1298 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1301. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Nijo.
Fushimi wa Japani Fushimi (10 Mei, 1265 – 8 Oktoba, 1317) alikuwa mfalme mkuu wa 92 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Hirohito", na alikuwa mwana wa pili wa Go-Fukakusa. Mwaka wa 1287 alimfuata binamu yake Go-Uda, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1298. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Fushimi.
Go-Uda wa Japani Go-Uda (17 Desemba, 1267 – 16 Julai, 1324) alikuwa mfalme mkuu wa 91 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Yohito", na alikuwa mwana wa pili wa Kameyama. Mwaka wa 1274 alimfuata baba yake Kameyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1287. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Fushimi.
Hanazono wa Japani Hanazono (14 Agosti, 1297 – 2 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tomihito", na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.
Go-Nijo wa Japani Go-Nijo (9 Machi, 1285 – 10 Septemba, 1308) alikuwa mfalme mkuu wa 94 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Kuniharu", na alikuwa mwana wa kwanza wa Go-Uda. Mwaka wa 1301 alimfuata binamu yake Go-Fushimi, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1308. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Hanazono.