Top 10 similar words or synonyms for kameyama

fushimi    0.963855

nijo    0.953921

fukakusa    0.947988

mizunoo    0.943226

momozono    0.938254

komyo    0.938058

yozei    0.935245

tsuchimikado    0.934318

kashiwabara    0.934279

daigo    0.931786

Top 30 analogous words or synonyms for kameyama

Article Example
Go-Kameyama Go-Kameyama (takriban 1347 – 10 Mei 1424) alikuwa mfalme mkuu wa 99 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Hironari". Mwaka wa 1383 alimfuata Chokei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Oktoba 1392. Aliyemfuata ni Go-Komatsu.
Kameyama wa Japani Kameyama (9 Julai, 1249 – 4 Oktoba, 1305) alikuwa mfalme mkuu wa 90 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tsunehito", na alikuwa mwana wa saba wa Go-Saga. Mwaka wa 1259 alimfuata kaka yake Go-Fukakusa, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1274. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Uda.
Go-Uda wa Japani Go-Uda (17 Desemba, 1267 – 16 Julai, 1324) alikuwa mfalme mkuu wa 91 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Yohito", na alikuwa mwana wa pili wa Kameyama. Mwaka wa 1274 alimfuata baba yake Kameyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1287. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Fushimi.
Go-Fukakusa wa Japani Go-Fukakusa (28 Juni, 1243 – 17 Agosti, 1304) alikuwa mfalme mkuu wa 89 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Hisahito", na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Go-Saga. Mwaka wa 1246 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1260. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Kameyama.
Chokei wa Japani Chokei (takriban 1343 – 27 Agosti 1394) alikuwa mfalme mkuu wa 98 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Yutanari", na wazazi wake walikuwa Go-Murakami na Fujiwara Masako. Mwaka wa 1383 alimfuata babake Go-Murakami, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1383. Aliyemfuata ni Go-Kameyama.