Top 10 similar words or synonyms for tsuchimikado

nijo    0.960928

fukakusa    0.960259

hanazono    0.958774

kashiwabara    0.958563

mizunoo    0.957713

fushimi    0.956790

shijo    0.937930

komyo    0.935138

kameyama    0.934318

yozei    0.932391

Top 30 analogous words or synonyms for tsuchimikado

Article Example
Go-Tsuchimikado Go-Tsuchimikado (3 Julai 1442 – 21 Oktoba 1500) alikuwa mfalme mkuu wa 103 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Fusahito". Tarehe 21 Agosti 1464 alimfuata baba yake, Go-Hanazono, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Kashiwabara.
Go-Hanazono Go-Hanazono (19 Julai 1419 – 18 Januari 1471) alikuwa mfalme mkuu wa 102 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Hikohito". Tarehe 7 Septemba 1428 alimfuata Shoko, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Agosti 1464. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Tsuchimikado.
Go-Kashiwabara Go-Kashiwabara (19 Novemba 1464 – 19 Mei 1526) alikuwa mfalme mkuu wa 104 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Katsuhito". Tarehe 16 Novemba 1500 alimfuata baba yake, Go-Tsuchimikado, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Nara.
Go-Saga wa Japani Go-Saga (1 Aprili, 1220 – 17 Machi, 1272) alikuwa mfalme mkuu wa 88 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Kunihito", na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Tsuchimikado. Mwaka wa 1242 alimfuata binamu yake Tenno Shijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1246. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Fukakusa.