Top 10 similar words or synonyms for nijo

fushimi    0.966053

tsuchimikado    0.960928

fukakusa    0.958507

kameyama    0.953921

mizunoo    0.945793

hanazono    0.938324

komyo    0.937190

kashiwabara    0.928522

yozei    0.925840

sakuramachi    0.922204

Top 30 analogous words or synonyms for nijo

Article Example
Go-Nijo wa Japani Go-Nijo (9 Machi, 1285 – 10 Septemba, 1308) alikuwa mfalme mkuu wa 94 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Kuniharu", na alikuwa mwana wa kwanza wa Go-Uda. Mwaka wa 1301 alimfuata binamu yake Go-Fushimi, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1308. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Hanazono.
Go-Fushimi wa Japani Go-Fushimi (5 Aprili, 1288 – 17 Mei, 1336) alikuwa mfalme mkuu wa 93 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tanehito", na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Fushimi. Mwaka wa 1298 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1301. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Nijo.
Hanazono wa Japani Hanazono (14 Agosti, 1297 – 2 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tomihito", na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.