Top 10 similar words or synonyms for daigo

kameyama    0.931786

fushimi    0.919554

komyo    0.910286

nijo    0.910261

mizunoo    0.909718

murakami    0.907412

fukakusa    0.893738

yozei    0.881828

meisho    0.876454

hanazono    0.862203

Top 30 analogous words or synonyms for daigo

Article Example
Go-Daigo wa Japani Go-Daigo (26 Novemba, 1288 – 19 Septemba, 1339) alikuwa mfalme mkuu wa 96 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Takaharu", na alikuwa mwana wa pili wa Go-Uda. Mwaka wa 1318 alimfuata binamu yake Hanazono, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1339. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Murakami.
Go-Murakami wa Japani Go-Murakami (takriban 1328 – 29 Machi 1368) alikuwa mfalme mkuu wa 97 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Noriyoshi", na wazazi wake walikuwa Go-Daigo na Renshi. Mwaka wa 1339 alimfuata babake Go-Daigo, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1368. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Chokei.
Hanazono wa Japani Hanazono (14 Agosti, 1297 – 2 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Tomihito", na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.