Top 10 similar words or synonyms for nakamikado

shijo    0.948212

hanazono    0.940385

kashiwabara    0.933116

tekle    0.932205

mizunoo    0.928236

ninko    0.926111

perutz    0.924167

momozono    0.924038

sakuramachi    0.921843

hormisdas    0.921668

Top 30 analogous words or synonyms for nakamikado

Article Example
Nakamikado Nakamikado (14 Januari 1702 – 10 Mei 1737) alikuwa mfalme mkuu wa 114 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Yasuhito". Tarehe 27 Julai 1709 alimfuata baba yake, Higashiyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 13 Aprili 1735. Aliyemfuata ni mwana wake, Sakuramachi.
Higashiyama Higashiyama (21 Oktoba 1675 – 16 Januari 1710) alikuwa mfalme mkuu wa 113 ("Tenno") wa Japani. Tarehe 6 Mei 1687 alimfuata mfalme mkuu Reigen, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 27 Julai 1709. Aliyemfuata ni mwana wake, Nakamikado.
Sakuramachi Sakuramachi (8 Februari 1720 – 28 Mei 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 ("Tenno") wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa "Teruhito". Tarehe 13 Aprili 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.