Top 10 similar words or synonyms for kanye

mc    0.829508

spice    0.829004

stand    0.819426

jah    0.809752

gangsta    0.805606

ci    0.805110

heavy    0.797191

girls    0.796615

lauryn    0.796174

dolls    0.795887

Top 30 analogous words or synonyms for kanye

Article Example
Kanye Kanye ni kijiji katika Ngwaketse, Wilaya ya Southern huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 47,007 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011.
Kanye West Kanye Omari West (amezaliwa tar. 8 Juni 1977) ni mshindi mara tisa wa Tuzo za muziki za Grammy, akiwa kama rapa-mtayarishaji bora wa muziki kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kanye West.
Kanye West West alitoa albamu yake ya kwanza mnamo mwaka wa 2004, na albamu ilikwenda kwa jina la The College Dropout. Albamu yake ya pili iliitwa Late Registration na ilitoka mnamo mwaka wa 2005, na pia ikafuatia albamu yake ya tatu iliyotoka mwaka 2007 ikiwa na jina la Graduation.
Kanye West Albamu zake zote tatu zilipata tuzo kadhaa, umaarufu, na mafanikio ya kibiashara. West pia anamiliki studio yake mwenyewe iitwayo GOOD Music. Wazazi wa West walitarikiana wakati akiwa na umri wa miaka mitatu, kisha yeye na mama yake wakaamia zao mjini Chicago, Illinois. Alijiandikisha katika Chuo Kikuu cha Chicago lakini baadaye aliacha kujiendeleza na masuala yake ya kazi za muziki.
Kanye West Alianza kujibebea umaarufu baada ya kutengeneza single kadhaa za muziki. Miongoni mwa single alizofanya ni pamoja na ya Jay-Z, Alicia Keys, na Janet Jackson. Staili nyingi za West katika utayarishaji wake huwa anaweka vielelezo vya sauti vyembamba ambavyo vinaambatana na vigoma na ala tupu za muziki.