Top 10 similar words or synonyms for lauryn

wyclef    0.958547

pras    0.952545

darryl    0.919128

freddie    0.911937

jade    0.908799

bayyan    0.907751

kastro    0.907265

fatal    0.906328

whitney    0.905951

wakimshirikisha    0.904437

Top 30 analogous words or synonyms for lauryn

Article Example
Lauryn Hill Baada ya miaka minne ya mapumziko, akatoa albamu ya "MTV Unplugged No. 2.0" iliyorekodiwa mnamo 21 Julai 2001 katika studio za MTV. Hill ameshinda tuzo nane za Grammy na pia ni mama wa watoto watano aliozaa na Rohan Marley, mtoto wa nne wa mwanamuziki wa raggae wa zamani - Bob Marley.
Lauryn Hill Mnamo 25 Agosti katika mwaka wa 1998, akaanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea na kuweza kutoa albamu moja iliyompatia mafanikio makuwa kabisa. Albamu ilikwenda kwa jina la The Miseducation of Lauryn Hill, albamu iliyosaidia kuinua muziki wa neo-soul katika ngazi za kibiashara.
Lauryn Hill Muziki huo ulikuwa karibu kidogo na nyumbani kwa kina Hill. Mal Hill alikuwa akiimba nyimbo katika maharusi, Valerie alikuwa akipiga piano, na kaka mkubwa wa Lauryn Melaney alikuwa akipiga saxophone, gitaa, ngoma, harmonica, zeze, na piano.
Lauryn Hill Hill alianza kazi za uimbaji wakiwa na umri mdogo sana. Mnamo mwaka 1988 akiwa na umri mwa miaka 13, Hill alianza kuonekana katika maonyesho ya usiku akiwa kama mwimbaji kujitolea wa katika maonyesho ya It's Showtime at the Apollo.
Lauryn Hill Lauryn Noel Hill (amezaliwa tar. 25 Mei 1975) ni mshindi mara nane wa Tuzo za Grammy akiwa kama mwimbaji, rapa, mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi za muziki, na mwigizaji bora wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lauryn Hill. Katika shughuli zake za awali, alianza kujibebea sifa kubwa katika ulimwengu wa muziki wa hip hop akiwa kama mwanamke pekee wa kundi la muziki huo la The Fugees.
Lauryn Hill Lauryn Hill alizaliwa mnamo tar. 25 Mei ya mwaka wa 1975, katika mji wa South Orange, New Jersey. Hill alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa na mwalimu wa Kiingereza - Valerie Hill na mwekaji programu za kompyuta Mal Hill. Akiwa mtoto, Hill alikuwa akisiliza rekodi nyingi muziki wa soul uliokuwa unafanywa na wazazi wake na studio za Motown zile za miaka ya 1960.
Pras Pras alizaliwa mjini Haiti na kukulia mjini Brooklyn,New York na South Orange, New Jersey, Pras ni mkulima wa muziki toka awali. Akiwa na umri wa maiaka kumi na tatu, Pras alikutana na Lauryn Hill akiwa na umri wa miaka 12, Lauryn ni mwimbaji aliye na kipaji na sauti nzuri, Pras aliligundua hilo mwanzo tu wa kukutana nae. Mnamo mwaka wa 1988, Pras alimtamblisha Lauryn kwa "binamu yake", Wyclef Jean, na baadae wakaja kuunda kundi la muziki liloitwa Tranzlator Crew. Kundi baadae lilibadilshwa jina na kuitwa The Fugees, kama kumbu kumbu kwa wakimbizi wa Haiti waliotelekezwa katika kutaka kupita katika bahari ya Marekani.
Chuo Kikuu cha Columbia Miongoni mwa waliofuzu kutoka katika chuo hiki ni rais wa Marekani, Barack Obama, rais wa Estonia Toomas Hendrik Ilves, na wasanii waimbaji Alicia Keys na Lauryn Hill.
Muziki kwenye miaka ya 1990 Mwaka wa 1998, Lauryn Hill ametoa albamu yake ya kwanza "The Miseducation of Lauryn Hill", ambayo iliingia moja kwa moja hadi nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200. Mwaka wa 1999, "The Miseducation" ilipata kuchaguliwa mara 10 katikaa tuzo za Grammy, imeshinda tano (ambapo kwa kipindi hicho haijawahi kusikika kwa msanii wa hip-hop) na hatimaye imeenda kuuza nakala miliono 19 kwa hesabu ya dunia nzima.
The Fugees The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi liliamza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/mwimbaji/mtayarishaji Wyclef Jean, rapa/mwimbaji/mtayarishaji Lauryn Hill, na rapa Pras Michel.