Top 10 similar words or synonyms for ci

jojo    0.939719

fergie    0.912802

eternal    0.907172

xscape    0.896662

frankie    0.895843

ren    0.895536

umeimbwa    0.895197

musician    0.895038

stretch    0.893976

terror    0.893444

Top 30 analogous words or synonyms for ci

Article Example
CI CI au ci ni kifupi cha:
Kigbe-Ci Kigbe-Ci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kifon. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Ci imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Ci iko katika kundi la Kikwa.
K-Ci na Jojo K-Ci na Jojo ni kundi la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, wakiwa ndugu kati ya Cedric Hailey (K-Ci Hailey aliz. 1969) na Joel Hailey (Jojo Hailey aliz. 1971). Wote wawili ni wazaliwa wa Charlotte, North Carolina, Marekani.
Pia walikuwa wanachama wa kundi la zamani la muziki wa R&B na Soul "Jodeci" na Ndugu wengine wawili ambao ni Donald Degrate (Devante Swing) na Dalvin Degrate (Mr. Dalvin) kwa pamoja wanaunda kundi la Jodeci.
K-Ci na Jojo Akiwa ana miaka 16 Devante Swing alisafiri kwenda Minneapolis. Alipofika huko hakuwa mbali sana na masuala ya kimuziki hivyo akaamua kujiunga na Prince Organization, moja kati ya wanamuziki wa pop wa Marekani. Pamoja na kujiunga Prince Organization, Devante Swing hakufaulu kimuziki kama alivyokuwa anategemea.
K-Ci na Jojo Wakiwa bado wadogo K-Ci na Jojo walikuwa waimbaji wa kwaya katika kanisa la Pentekoste, wakawa wanafanya matamasha mbali huku na kule.
K-Ci na Jojo Wakiwa katika baadhi ya matamasha wakutana na Devante Swing pamoja na kaka yake Mr. Dalvin Degrate, wakakaa pamoja na kujadilia kuunda kundi la muziki ambalo ndio linaloitwa Jodeci.
K-Ci na Jojo Siku moja wakiwa wanauza kanda za redio alipita msanii mmoja mkubwa (Heavy D) akazitia mkononi zile kanda na kuzipitisha katika Studio ya Uptown Records chini ya mmiliki wa Studio hiyo bwana Andre Harrell, ambaye ndiye aliyefanya maandalizi ya kuingia nao makataba wa kurekodi albamu, ndio hapo walipoanza muziki rasmi na kujiita Jodeci.
K-Ci na Jojo Baadae akamtaka K-Ci na Jojo kujiunga nae huko New York katika duka fulani alilokuwa anafanya kazi ya kuuza kanda, ambalo zilikuwemo pia moja kati ya kazi alizofanya za muziki.
Tell Me It's Real "Tell Me It's Real" ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na waimbaji wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, K-Ci & JoJo. Kibao hiki kilitayarishwa kwa ajili ya albamu ya pili ya K-Ci & JoJo, "It's Real (1999).
Mia moja na moja Mia moja na moja ni namba inayoandikwa 101 kwa tarakimu za kawaida na CI kwa zile za Kirumi.