Top 10 similar words or synonyms for spice

lyte    0.935955

gangsta    0.934803

too    0.931468

squad    0.929243

hard    0.928526

wanted    0.928052

gang    0.925252

tha    0.924774

much    0.921320

terror    0.920984

Top 30 analogous words or synonyms for spice

Article Example
Spice Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ya mwaka 1995 na 1996, na watayarishaji kama vile Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy na watayarishaji wawili wajulikanao kwa jina la Absolute.
Spice Single tano zilitolewa kutoka katika alabmu hii: "Wannabe", "Say You'll Be There", "2 Become 1", "Who Do You Think You Are" na "Mama"; "Who Do You Think You Are" na "Mama" zilitolewa kama A-side na B-side kwa upande wa Uingereza, Ireland na nchi zingine. Single ya kwanza, "Wannabe", imekwenda shika nafasi ya kwanza katika nchi takriban 31, na single ya pili, "Say You'll Be There" na "2 Become 1", zimeshika nafasi ya kwanza katika nchi zipatazo 53. "Who Do You Think You Are" ilitolewa kama single rasmi ya Comic Relief kwa upande wa UK ikiwa kama double A-side pamoja na "Mama" na nyimbo zote mbili zilifikia kilele cha chati za 20 bora katika Ulaya, Australia na New Zealand.
Spice "Spice" walipata mafanikio makubwa sana ulimwengu. Albamu ilitunukiwa Platinum 10 nchini UK na British Phonographic Industry na nchini Canada na Canadian Recording Industry Association, Platinum 8 kwa upande wa Ulaya zilitolewa na International Federation of the Phonographic Industry katika tuzo zao za mwaka wa 1997 mashuhuri kama European music awards, na 7x Platinum kwa upande Marekani zilitolewa na Recording Industry Association of America. Kwa ujumla, albamu imeuza kopi milioni 23 kwa hesabu ya dunia nzima, na kuifanya iwe albamu iliouza vizuri katika historia ya makundi ya muziki kwa upande wa wasichana.
Spice Girls Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop".
Richie Spice Wimbo wake 'Youths Dem Cold' ulichezwa kwa Redio ya kipindi cha Grand_Theft_Auto_IV_soundtrack # Massive_B_Soundsystem_96.9 katika GTA IV
Spice Girls Kundi limetoa albamu tatu: Spice mnamo mwaka wa 1996, Spice World mnamo mwaka wa 1997 na Forever mnamo mwaka wa 2000. The Spice Girls pia wamecheza kwenye filamu ya Spiceworld: The Movie, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 1997.
Spice Girls Wasichana hao watano walikuja kuungana tena hapo mnamo mwaka wa 2007 na kutangaza kwamba wafanya ziara ya kimataifa ambayo imeanza mwezi wa Desemba.
Richie Spice Richie Spice (amezaliwa na jina la Richell Bonner mnamo 8 Septemba 1971 mjini Rock Hall, St Andrew nchini Jamaika) ni msanii wa Reggae.
Richie Spice Richie Spice ni mwanachama wa vuguvugu la RASTAFARI. Baadhi ya nyimbo zake maarufu ni kama, "Youth Dem Cold", "Groovin 'My Girl", "Earth A Run Red", "Marijuana" na "The Plane Land".
Richie Spice Baada ya kupata umaarufu katika katikati ya miaka ya 1990, Spice ameigiza katika sherehe kuu hasa Reggae Sun Splash (kwa heshima ya Bob Marley), White River Reggae Bash, Rebel Salute na mengine mengi. Spice amefungua vionyesho kwa waimbaji kama Chaka Demus na Pliers, Spanner Banner na Rita Marley katika ziara mbalimbali za Ulaya na Marekani 1996-1997.