Top 10 similar words or synonyms for jason

gary    0.969302

parker    0.966181

billy    0.965856

davis    0.965232

eric    0.964466

andy    0.964279

kevin    0.964231

miller    0.963219

nick    0.962373

russell    0.960784

Top 30 analogous words or synonyms for jason

Article Example
Jason Statham Jason Statham (amezaliwa tar. 12 Septemba 1972) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Bacon kutoka katika filamu ya Lock, Stock and Two Smoking Barrels, Jake Green kutoka katika filamu ya Revolver, Turkish kutoka katika filamu ya Snatch.
Jason Dunford Akiwa chuoni Marlborough alikutana na kocha Petro O'Sullivan, ambaye alikuwa mwogeleaji mkuu wa kimataifa wa Uingereza wa kitambo katika masafa ya mita 400 ya kibinafsi. O'Sullivan alikuwa ameogelea katika Chuo Kikuu cha Georgia, na ni yeye aliyempa moyo Jason kwenda kusomea katika chuo za Marekani ndiposa aweze kuendeleza wasifu wake wa uogeleaji. Mwaka wa 2005, baada ya kumaliza gredi zake za A (A-levels), Dunford alihamia katika Chuo Kikuu cha Stanford, Marekani ambako alipata udhamini wa uogeleaji. Wakati huu yeye anasomea Biolojia ya Binadamu.
Jason Dunford Jason ni mwana wa Martin na Geraldine Dunford. Martin Dunford ni Mwenyekiti wa kundi la Tamarind ambayo inamiliki hoteli maarufu ya Carnivore. Geraldine, mjukuu Block Ibrahim, mwanzilishi wa hoteli za Block, ni mtendaji wa masoko. Martin pia ni makamu wa mwenyekiti wa Shirikisho ya Uogeleaji ya Kenya na mlezi wa Nairobi Amateur Swimming Association (NASA).
Jason Dunford Jason Dunford alianza kuogelea akiwa na umri wa miaka mitano akiwa Kenton College, shule ya msingi mjini Nairobi, chini ya kocha Andrew Nderu, ambapo alijiimarisha katika makundi ya umri mjini Nairobi. . Akiwa na umri wa miaka 13, mwogeleaji huyu mwenye kipaji cha uogeleaji alihama kwenda kusoma katika Chuo cha Marlborough (ambacho ni skuli ya upili) nchini Uingereza.
Jason Dunford Katika kozi fupi mashindano ya ubingwa wa Dunia ya 2006 huko Shanghai alifika nusu fainali katika matukio mawili: mita 100 "freestyle" na mita 100 "butterfly".