Top 10 similar words or synonyms for miller

kevin    0.968376

davis    0.967657

bobby    0.964513

jason    0.963219

perry    0.962726

jon    0.962370

warren    0.962210

gary    0.961728

ryan    0.960168

tyler    0.958242

Top 30 analogous words or synonyms for miller

Article Example
Wentworth Miller Wentworth Earl Miller III (amezaliwa tar. 2 Juni 1972) ni mwigizaji wa filamu wa Kimarekani-Kiingereza, aliyetunukiwa tuzo ya Golden Globe akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na tamthiliya. Amejizolea umaarufu mkubwa baada ya kucheza kama "Michael Scofield" kutoka katika tamthilia ya "Prison Break" iliyokuwa inarushwa hewani na televisheni ya FOX Network.
Wentworth Miller Miller alizaliwa Chipping Norton, Oxfordshire, Uingereza, ambapo baba yake alikuwa akiishi huku akisoma katika chuo cha Oxford. Familia yake baadae ilihamia Park Slope, Brooklyn, New York, kipindi ana mwaka mmoja. Ana madada wawili, Leigh na Gillian. Alipata elimu yake pale Midwood High School iliyopo Brooklyn, New York USA. Alihitimu masomo yake katika Chuo cha Princeton akiwa na shahada ya Fasihi ya Kiingereza.
Wentworth Miller Miller ameonekana kwenye video mbili za muziki za mwanadada Mariah Carey na alipata mchango mkubwa kutoka kwa Carey kutokana na video ya nyimbo We Belong Together. Miller anadai kuwa umahiri wa video hiyo umechangia kwa kiasi kikubwa kuwashawishi waandaaji kumpa nafasi ya nyota kwenye tamthilia iliyojizolea umaarufu ya "Prison Break". Anasema, "Mariah ni maarufu kimataifa. Siku mbili nilizokuwa naigiza kwenye video zake zimenisaidia sana kisanaa, zimenitangaza zaidi kuliko jambo lolote nililowahi kulifanaya kabla ya Prison Break. Ninashukuru sana kwa nafasi ile."
Wentworth Miller Katika mahojiano, Miller alibainisha kuwa asili yake ni mchanganyiko. Akimaanisha kuwa baba yake ni Mmarekani-Mwafrika, Muingereza, Muitalia, Mjerumani na nusu Mcherokee na mama yake ni Mrusi, Mfaransa, Mdachi na Msyria.
Wentworth Miller Miller kwa mara ya kwanza aliigiza nafasi ya nyota kama David katika tamthilia fupi "Dinotopia" ya ABC. Baada ya kuonekana katika maigizo tofauti tofauti ya kwenye runinga, alihamia kwenye filamu ya mwaka 2003 The Human Stain akicheza nafasi ya nyota msaidizi. Aliigiza kama Anthony Hopkins kijana. Miller alianza kuonekana kwenye runinga kwenye tamthilia ya "Buffy the Vampire Slayer" ("Go Fish" 1998).