Top 10 similar words or synonyms for todd

reid    0.974997

isley    0.971726

jae    0.970999

jessica    0.966071

dwayne    0.965794

shawn    0.965559

rashad    0.965247

nick    0.963616

simmons    0.963482

hank    0.962660

Top 30 analogous words or synonyms for todd

Article Example
Todd Smith Waliotayarisha albamu hii ni pamoja na Pharrell, Scott Storch, Bink, Shea Taylor, Keezo Kane na Trackmasters.
Todd Smith Albamu imetunukiwa Dhahabu na RIAA.
Todd Smith Todd Smith ni albamu ya 11 (ya 12 kwa ujumla) ya rapa wa Kimarekani LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Aprili 2006. Inamjulisha ushirikiano wake na baadhi ya wasanii kama vile Jennifer Lopez, Pharrell, Juelz Santana, Teairra Mari, Ginuwine, Mary J. Blige, 112, Mary Mary, Ryan Toby (kutoka City High) na Freeway.
Todd Smith Albamu iliingia kwenye chati za Billboard #6, na kuuza kopi 116,000 na kushika nafasi ya #79 kwenye chati za albamu za UK na nafasi ya #40 nchini Kanada.
Todd Smith Single ya kwanza ni "Control Myself", ambayo imetayarishwa na Jermaine Dupri, ambayo pia ni ushirikiano wake mwingine na mwimbaji Jennifer Lopez baada ya ile ya kwanza ya "All I Have" kwenye albamu ya Lopez ya 2002, "This Is Me... Then". LL Cool J na Jennifer Lopez walipiga video ya "Control Myself" mnamo tar. 2 Januari 2006 katika studio za Sony, New York. Video ilipigwa na Hype Williams. Awali, wimbo ilibidi ashirikishwe Fergie (kutoka katika kundi la The Black Eyed Peas), hata hivyo makubaliano ya kimalipo yameleta shida na kupelekea nafasi yake kuchukuliwa na Jennifer Lopez. "Todd Smith" imepata tahakiki za ajabu, japokuwa watathmini wengi walifurahishwa sana na kibao cha "Preserve The Sexy" na "Freeze". Freeze kilikuwa kibao cha pili kutoka katika albamu na kimemshirikisha msanii kama Lyfe Jennings. Albamu ilipeleka nakala 500,000 nchi za nje, lakini imeuza nakala 367,000 katika hizo.