Top 10 similar words or synonyms for shawn

benny    0.973020

reid    0.971033

jae    0.971005

rashad    0.969957

ashley    0.968529

dwayne    0.968492

isley    0.968060

bradley    0.967296

holly    0.967023

salary    0.966999

Top 30 analogous words or synonyms for shawn

Article Example
Rocawear Rocawear ni kiwanda cha nguo Mpya kilichoanzishwa katika 1999 na Shawn "Jay-Z" Carter na Damon Dash.
Noah Gray-Cabey Gray-Cabey alizaliwa tarehe 16 Novemba 1995 mjini Chicago, Illinois. Wazazi wake ni Whitney Gray na Shawn Cabey. Aidha alikulia maisha yake mjini Newry, Maine. Alianza kucheza na kidude che piano. Yeye amedai katika mahojiano kuwa wakati alipofikia umri wa miaka minne, aliamua kwamba alitaka kucheza piano halisi.
Jay-Z Shawn Corey Carter (amezaliwa tar. 4 Desemba 1969) ni msanii wa hip hop na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jay-Z. Huyu ni Ofisa Mkuu wa zamani wa Def Jam Recordings na Roc-A-Fella Records.
Underclassman Underclassman ni filamu ya mwaka wa 2005 ambamo ndani yake ina mapigano na vichekesho. Filamu imeongozwa na Marcos Siega, na waigizaji wake ni Nick Cannon, Shawn Ashmore, Roselyn Sánchez, Kelly Hu, Hugh Bonneville, na Cheech Marin. Filamu ilitolewa mnamo tar. 2 Septemba 2005, awali ilipanga itolewe kunako mwaka wa 2004.
One Sweet Day "One Sweet Day" ni wimbo uliorekodiwa na mwimbaji wa nchini Marekani, Mariah Carey, kwa kushirikiana na kundi la vijana wa Boys II Men. Wimb huu umeandikwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana na, Walter Afanasieff pamoja na kundi la Boyz II Men linalowajumuisha Wanya Morris, Shawn Stockman, Nathan Morris, na Michael McCary. Wimbo huu ulitayarishwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana an Afanasieff kwa ajili ya albamu ya sita ya Carey iliyokwenda kwa jina la "Daydream", ambapo single hii ilitoka kama singe ya pili kutoka katika albamu hii na ilitoka mwaka 1995.