Top 10 similar words or synonyms for sinapsi

kapilari    0.850716

hemoglobini    0.841551

jinomu    0.838844

    0.812679

neutroni    0.812089

swichi    0.810616

sakiti    0.809854

peptidi    0.809137

nyukleotidi    0.807158

mielini    0.805579

Top 30 analogous words or synonyms for sinapsi

Article Example
Ubongo Akzoni huelekeza vichocheo kwa neuroni nyingine, au kwa chembe nyingine zisizo za neuroni, kwa njia ya makutano maalumu yaitwayo sinapsi. Akzoni moja inaweza kuwa na mikutano ya sinapsi elfu kadhaa. Wakati kitendo tarajiwa, kinachosafiri kupitia akzoni, kinapofika katika sinapsi, kinasababisha kutolewa kwa kemikali itwayo niurotransmita. Niurotransmita hujifungamanisha katika molekyuli pokezi iliyo katika utando wa chembe inayolengwa. Baadhi ya neuroni pokeza ni "sisimuzi," kumaanisha kwamba zinaongeza kiwango cha vitendo tarajiwa katika chembe inayolengwa; vipokezi vingine ni "zuizi," kumaanisha kwamba vinapunguza viwango vya vitendo tarajiwa, vingine vina athari changamano ya udhibiti.
Neva Mwishoni kuna vidole vinavyofikia kwenye vidole vya seli nyingine. Seli haziunganishwi moja kwa moja: kuna mapengo madogo kati ya seli zinazoitwa sinapsi.
Ubongo Ubongo unaweza kuwa changamani sana. Gamba la ubongo wa binadamu lina takribani neuroni bilioni 15-33, labda zaidi, kutegemea jinsia na umri, zilizounganishwa na takribani miunganiko ya sinapsi 10,000 kila mmoja. Kila milimita ya kizio cha ukubwa wa gamba la ubongo lina takribani sinapsi bilioni moja. Neuroni hizi huwasiliana na nyingine kwa njia ya fumwele ndefu za protoplazimu ziitwazo akzoni, ambazo hubeba mifuatano ya mipigo ya vichocheo vitwavyo matendo tarajiwa kuelekea sehemu mbali za ubongo au mwili na kulenga seli maalumu itakazovipokea.
Utegemezi wa dawa za kulevya Neuroplastisi ndio mfumo wa udhanifu unaochangia kujifunza na kumbukumbu. Inahusu mabadiliko ya kimwili katika sinapsi baina ya neuroni mbili za kuwasiliana, ongezeko la sifa za jeni kujitokeza , mageuzo ya ishara za seli na kuzalishwa kwa sinapsi mpya kati ya neuroni za kuwasiliana. Wakati dawa za kulevya zipo katika mfumo, huonekana kuteka nyara mifanyiko hiyo katika mfumo wa uridhikaji hiyo motisha hulengwa kwa utoaji wa dawa za kulevya kuliko uridhikaji wa asili. Kufuatana na historia ya matumizi ya dawa ya kulevya, sinapsi zinazosisimuliwa katika akumbeni za kiini (NAc)hukumbwa na aina mbili za ubadilikaji wa neva: potensheni ya muda mrefu (LTP) na unyongovu wa muda mrefu (LTD). Wakitumia panya kama mfano, Kourrich na wenzake walionyesha kwamba matumizi sugu ya kokeni huongeza nguvu za synapsi katika NAc baada ya kipindi cha kujiondoa cha siku 10-14, ilhali sinapsi zenye nguvu hazijitokezi kwa kipindi cha saa 24 baada ya matumizi ya mara kwa mara ya kokeni. Kipimo kimoja cha kokeni hakikusababisha sifa zozote za sinapsi zenye nguvu. Wakati panya walio na uzoevu wa dawa ya walipopewa changamoto kwa kipimo kimoja cha kokeni, unyogovu wa sinapti ulitokea. Kwa hiyo, inaonekana historia ya matumizi ya kokeni pamoja na athari za uondoaji huathiri mwelekeo wa kugeuza umbo la glutamati katika NAc.
Ubongo Isipokuwa katika hali chache, kila neuroni katika ubongo huendelea kutoa kemikali za niurohamishi, isiyobadilika au mchanganyiko wa niurohamishi, katika miunganiko yoyote ya sinapsi inayofanya na neuroni nyingine, kanuni hii inajulikana kama kanuni ya Dale. Kwa hivyo, niuron anaweza kuainishwa kutegemea niurohamisho iinayotoa. Niurohamishi mbili zinazoomekana mara nyingi zaidi ni glutamati, ambayo aghalabu huwa sisimuzi, na sidi ya gama-aminobutri (GABA), ambayo aghalabu huwa pingamizi. Neuroni zinazotumia transmita hizi zinaweza kupatikana katika karibu kila sehemu ya ubongo, zikibuni asilimia kubwa ya mkusanyiko wa sinapsi za ubongo.