Top 10 similar words or synonyms for hemoglobini

adrena    0.855782

neutroni    0.848160

sinapsi    0.841551

peptidi    0.840573

kugandisha    0.839606

mielini    0.833982

kalsiamu    0.833493

kapilari    0.832164

lipoprotini    0.830722

sakiti    0.825105

Top 30 analogous words or synonyms for hemoglobini

Article Example
Seli nyekundu za damu Rangi nyekundu inatokana na protini ya hemoglobini ndani yake.
Bilirubini Bilirubini ni dutu inayotokana na kumeng'enywa kwa hemoglobini. Iligunduliwa na Rudolf Virchow mwaka 1847.
Anemia Anemia (kutoka Kiingereza; katika lugha hiyo inaandikwa pia anaemia) ni ugonjwa wa kukosa idadi ya kutosha ya seli nyekundu za damu (upungufu wa hemoglobini katika damu).
Malaria Watu walio na jeni ya aina moja ya damu iliyobadilika kabisa ([[Homozygous]]) huwa na ugonjwa kamili wa seli mundu ambao ni nadra kuishi zaidi ya umri wa kubaleghe. Hata hivyo, katika maeneo ambapo malaria [[imeenea,]] [[maenezi]] ya jeni inayosababisha seli mundu ni takribani 10%. Uwepo wa jeni nne zinazotoshelezana kwa pamoja ([[haplotype]]) za hemoglobini mundu unaashiria kwamba kumekuwa na mabadiliko ya [[kujitegemea]] ya jeni angalau mara nne katika maeneo ambayo malaria imeenea, hii inaonyesha faida ya mabadiliko katika maeneo hayo yaliyoathiriwa. Aidha kuna mabadiliko mengine ya jeni ya HBB yanayosababisha molekyuli za hemoglobini zilizo na uwezo wa kutoa kinga sawa na hiyo dhidi ya maambukizi ya malaria. Mabadiliko hayo husababisha hemoglobini ya aina za HbE na HbC, ambazo kwa kawaida hupatikana [[Kusini Mashariki mwa Asia]] na [[Afrika Magharibi]], kwa usanjari huo.
Malaria Katika maradhi ya seli mundu, kuna mabadiliko katika jeni ya "HBB", ambayo husimba viwango vidogo vya haemoglobin viitwavyo beta-globini. Aleli ya kawaida husimba [[glutamate]] katika sehemu ya sita ya protini ya beta-globini, ilihali aleli ya seli mundu husimba [[valine.]] Mabadiliko haya kutoka asidi amino inayoyeyuka majini hadi isiyoyeyuka majini husababisha kushikana kwa molekyuli za hemoglobini na upolimishaji wa hemoglobini ambao husababisha kuharibika kwa maumbo ya chembechembe nyekundu za damu kuwa katika umbo la "mundu". Chembe chembe kama hizo zilizoharibika umbo huondolewa haraka kutoka kwa damu, hasa katika wengu, ambapo huharibiwa na kuchakatwa tena.