Top 10 similar words or synonyms for nimonia

tutuko    0.904959

saratani    0.897571

meninjitisi    0.891191

zosta    0.885443

mzio    0.882268

kaswende    0.880568

homa    0.880133

mafua    0.864901

ini    0.860001

dengi    0.858285

Top 30 analogous words or synonyms for nimonia

Article Example
Nimonia Joto jingi mwilini si mahususi kabisa kwa sababu hutokea katika maradhi mengine mengi, na hali hii inaweza kukosa kwa walio na ugonjwa mkali sana auutapiamlo. Zaidi ya hayo, kikohozi hukosa mara nyingi kwa watoto wenye umri wa chini ya miezi miwili Ishara na dalili zaidi kali ni:ngozi yenye rangi ya bluu kidogo, kiu kilichopungua, matukutiko, kutapika kunakoendelea, halijoto iliyopungua sana au iliyozidi sana, au kiwango kilichopungua cha fahamu.
Nimonia Nimonia hutokana hasa na maambukizi yanayosababishwa na bakteria au virusi na kwa viwango vidogo na kuvu naparasiti. Ingawa kuna zaidi ya aina 100 za ajenti za maambukizi zilizogunduliwa, ni chache tu zinahusika kwa vingi vya visa. Maambukizi yanayohusisha mchanganyiko wa virusi na bakteria yanaweza kutokea kwa hadi asilimia 45 ya maambukizi kwa watoto na asilimia 15 ya maambukizi kwa watu wazima. Huenda ajenti inayosababisha isiweze kubainishwa katika takriban nusu ya visa licha ya kupima kwa makini.
Nimonia Virusi vinaweza kulifikia pafu kwa njia nyingi tofauti. Virusi vya kupumua vya sinsitia huenezwa hasa watu wanapogusa vitu vilivyoambukizwa na kisha waguse macho au pua zao.Maambukizi mengine ya virusi hutokea matone kwenye hewa yaliyoambukizwa yakivutwa ndani hadi mapafuni kupitia kinywani au puani.Virusi vinapofika kwenye sehemu ya juu ya njia ya hewa, vinaweza kwenda hadi kwa mapafu ambapo huvamia seli kwenye kuta za njia za hewa, alveoli au parenkaima za mapafu. Virusi vingine kama vya ukambi na hepesi simpleksi vinaweza kufika kwa mapafu kupitia kwa damu. Uvamizi wa virusi hivi kwa mapafu unaweza kusababisha viwango tofauti vya vifo vya seli. Mfumo wa kingamwili ukijaribu kuitika kwa maambukizi haya, uharibifu zaidi wa mapafu unaweza kutokea. Seli nyeupe za damu, hasa seli za mononuklea, kwa kawaida husababisha inflamesheni hii. Pamoja na kuharibu mapafu, virusi vingi huathiri ogani zingine wakati huo huo na kukatiza shughuli zingine za mwilini. Virusi pia huufanya mwili kuwa mwepesi wa kuathiriwa na maambukizi ya bakteria; kwa njia hii nimonia ya bakteria inaweza kutokea kama ugonjwa ambatani
Nimonia Kusitisha uvutaji wa sigara na kupunguza uchafuzi wa hewa vyumbani, kama vile kupika kwa kuni vyumbani ausamadi, yote yamependekezwa. Uvutaji wa sigara unaonekana kuwa ndicho kisababishi kikuu cha nimonia ya numokokasi kwa watu wazima wenye afya. Usafi wa mikono na kukohoa kwenye mkono wa nguo kunaweza pia kuwa njia bora ya uzuiaji. Uvaaji wa barakoa za upasuaji kwa walio wagonjwa pia unaweza kuzuia maradhi.
Nimonia Kanuni za utabiri wa kiafya zimewekwa ili kutabiri kwa usahihi zaidi matokeo katika nimonia. Kanuni hizi hutumika katika kuamua iwapo mtu huyo atalazwa hospitalini au la.kutabiri