Top 10 similar words or synonyms for meninjitisi

maambukizi    0.899974

dengi    0.892246

nimonia    0.891191

homa    0.874883

saratani    0.871288

mzio    0.865086

ini    0.862037

tutuko    0.861360

sindromu    0.849400

mapafu    0.847209

Top 30 analogous words or synonyms for meninjitisi

Article Example
Meninjitisi Inflamesheni ya meninjesi inaweza kuchangia hali zisizo za kawaida katika [[neva za fuvu]], kikundi cha neva zinazochipuka kutoka katika[[shina la ubongo]] ambazo husambaa katika eneo la kichwa na shingo na ambazo hudhibiti mwendo wa macho, misuli ya uso, na kusikia, miongoni mwa kazi zingine. Dalili zinazohusu kuona na [[kupoteza uwezo wa kusikia]] ni hali zinazoweza kuendelea kwa muda mrefu baada ya kisa cha meninjitisiInflamesheni ya ubongo ([[ensefalitisi]]) au [[mishipa ya damu]] katika ubongo([[vasulitisi ya ubongo]]), na pia kuumbika kwa [[thrombosi|vidonge vya damu]] ndani ya vena([[thrombosi ya sinasi ya vena za ubongo|thrombosi ya ndani ya vena za ubongo]]), zote zinaweza kupelekea unyonge, kupoteza hisia au mwendo usio wa kawaida au utendakazi usio wa kawaida wa sehemu ya mwili inayosambaziwa na eneo lililoathiriwa la ubongo.
Meninjitisi Meninjitisi ya kibakteria inayorejea inaweza kusababishwa na ulemavu wa muda mrefu wa kimaumbile, ama ya kuzaliwa au ya kupatikana, au kwa matatizo ya mfumo wa kingamwili. Ulemavu wa kimaumbile huwezesha uendeleshaji kati ya mazingira ya nje na mfumo wa neva. Kisababishi cha mara nyingi cha meninjitisi inayorejea ni kuvunjika kwa fuvu, hasa kuvunjika kunakoathiri shina la fuvu au kunakotandaza kuelekea sinasi na piramidi ngumu.Takriban asilimia 59 ya visa vya meninjitisi inayorejea husababishwa na matatizo ya kimaumbile kama hayo, huku asilimia 36 ya matukio haya yakisababishwa na udhaifu wa kingamwili (kama vile ukosefu saidizi, ambao huhatarisha hasa kufuatia meninjitisi ya kimeningokokasi inayorejea), na asilimia 5 ya matukio husababishwa na maambukizi yanayoendelea katika sehemu zinazokaribiana na meninjesi.
Meninjitisi Kuna maswala kadhaa hatari yanayosababisha meninjitisi ya kuvu, ikiwa ni pamoja na kutumia kitu kinachozuia mwitikio wa kingamwili (kama vile baada ya kupandikiza kiungo), UKIMWI, na ukosefu wa kinga kufuatia uzee. Hali hii ni nadra katika watu walio na mfumo wa kawaida wa kingamwili lakini imetokea katika uchafuzi wa dawa. Kwa kawaida, mwanzo wa dalili huwa taratibu zaidi, huku zikiambatana na maumivu ya kichwa na homa angalau kwa wiki kadhaa kabla ya utambuzi. Meninjitisi ya kuvu inayotokea mara nyingi zaidi ni meninjitisi ya kiripitokokasi inayosababishwa "Cryptococcus neoformans". Barani Afrika, meninjitisi ya kiripitokokasi hukadiriwa kuwa kisababishi kikuu cha meninjitisi. and it accounts for 20–25% of AIDS-related deaths in Africa. Vikolezo vingine vya kuvu ni pamoja na "Histoplasma capsulatum", "Coccidioides immitis", "Blastomyces dermatitidis", na"Candida" species.
Meninjitisi Sindano ya mgongo hudungwa kwa kumlaza mtu kwa upande mmoja, huku ukitumia[[anaesthesia ya eneo maalum]], kisha kuingiza sindano katika[[kifuko cha dura]] (kifuko kinachozunguka uti wa mgongo) ili kuvuta kiowevu cha mfumo mkuu wa neva (KMN). Jambo hili likishafanywa, "shinikizo la kufungua" la KMN hupimwa kwa kutumia [[manometa]]. Shinikizo hili kwa kawaida huwa kati ya sentimita 6  na 18  za maji (cmHO); katika meninjitisi ya kibakteria shinikizo hili huwa juu zaidi. Katika[[meninjitisi ya kikriptokosi]], shinikizo la ndani ya fuvu huwa juu zaidi.Uwepo wa kwanza wa kiowevu hiki unaweza kudhihirisha asili ya maambukizi haya: KMN cha rangi nyeupe huashiria viwango vya juu zaidi vya protini, seli nyekundu na nyeupe za damu na/au bakteria, hivyo kuna uwezekano wa meninjitisi ya kibakteria.
Meninjitisi [[File:Meningitis Histopathology.jpg|thumb|Histopatholojia ya meninjitisi ya kibakteria: uchunguzi maiti ya mtu aliyekuwa na meninjitisi ya kinumokokasi unaoonyesha vipenyezo vya uvimbe wa[[sehemu ya ubongo ya pia]]zilizo na granulositi za nutrofili (ndani, ukuzaji wa juu zaidi).]]Meninjitisi inaweza kutambulika baada ya kifo. Matokeo ya [[uchunguzi wa maiti]]kwa kawaida huwa inflamesheni iliyosambaa ya [[sehemu ya ubongo ya pia]] na [[sehemu ya araknoidi, safu za |araknoidi]] za meninjesi.[[Granulositi ya nutrofili]]huwa imehamia katika kiowevu cha mfumo mkuu wa neva na shina la ubongo, pamoja na [[neva ya fuvu]] na [[uti wa mgongo]], unaweza kuzungukwa na [[usaha[[- sawa na mishipa ya meninjesi.