Top 10 similar words or synonyms for marangu

mpwapwa    0.910791

kisarawe    0.904756

mjimwema    0.897774

kalinzi    0.895540

kimanga    0.891709

liwale    0.890154

machame    0.887784

nyakach    0.886700

kilakala    0.884982

tabata    0.884668

Top 30 analogous words or synonyms for marangu

Article Example
Marangu Magharibi Marangu Magharibi ina vijiji 7 na watu wake walio wengi ni wafanyabiashara na wengine wameajiriwa kwenye sekta za binafsi na serikali kwa ujumla. Hata hivyo, ni moja kati ya sehemu maarufu sana, na eneo lake lina rutuba nyingi kwa kilimo kidogo cha ardhi ya hapo iliopo. Ardhi ya eneo hili limerithishwa kwa mtililiko wa kifamilia (mfumo wa "Kihamba"). Umaskini katika eneo hili bado umeonekana kuwa tatizo kubwa lakini linashughulikiwa ukifananisha na sehemu nyingine za mabonde ya Mlima Kilimanjaro. Kuna mito kadhaa inayomwagikia hapa na vilevile vyanzo vya maji ya chemchem.
Marangu Mashariki Marangu Mashariki ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,734 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 25221
Marangu Magharibi Marangu Magharibi ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,976 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 25222
Marangu Kitowo Marangu Kitowo ni kata ya Wilaya ya Rombo katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,734 walioishi humo.
Mkoa wa Mara • Wachaga (kwa mfano, Wakerobha au Wakiroba, walichanganya damu sana na wahamiaji toka Machame na Marangu kwa Wachaga - na hadi leo Machame na Marangu ni majina ya vitongoji huko kwa Wakiroba Mkoa wa Mara!)