Top 10 similar words or synonyms for liwale

kisarawe    0.938233

mpwapwa    0.927622

kilosa    0.919068

kapsabet    0.915569

ulanga    0.913131

kinondoni    0.911568

ilemela    0.910276

chunya    0.910092

igunga    0.907045

ilala    0.903317

Top 30 analogous words or synonyms for liwale

Article Example
Liwale Wilaya ya Liwale ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 75,546 .
Liwale Wenyeji wa sehemu hii ni hasa Wangindo.
Liwale Wakati wa ukoloni wa Kijerumani Liwale ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Kilwa. Liwali kulikuwa na boma ikiwa mahali pa ofisi ndogo (jer. Bezirksnebenstelle) ya Mkoa wa Kilwa. Boma la kwanza lilishambuliwa na kuharibika wakati wa vita ya Majimaji. Barabara ya kwanza ilijengwa wakati wa Wajerumani ikaunganisha Liwali na Kilwa,
Liwale 'B' Liwale "B" ni kata ya Wilaya ya Liwale katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,151 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 65502.
Liwale Mjini Liwale Mjini ni kata ya Wilaya ya Liwale katika Mkoa wa Lindi, Tanzania na pia makao makuu ya wilaya hii. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,651 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 65501.