Top 10 similar words or synonyms for kilithuania

pilav    0.921429

kichokwe    0.921015

tenggarong    0.919121

kidisa    0.916654

kindonga    0.916351

kigamo    0.915753

kibambalang    0.915692

kidizi    0.912964

kikutto    0.912765

kimbunda    0.912454

Top 30 analogous words or synonyms for kilithuania

Article Example
Wikipedia ya Kilithuania Wikipedia ya Kilithuania ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kilithuania. Ni huru na kamusi elezo kubwa ya intaneti kwa lugha ya Kilithuania. Toleo hili lilifanya hatua yake ya kwanza mnamo mwaka wa 2003, lakini ilifikisha makala za uhakika kunako mwaka wa 2004. Mnamo tar. 14 Desemba 2005, Wikipedia ya Kilithuania, imefikisha idadi ya makala 10,000 na kunako tar. 26 Februari ya mwaka wa 2006, imefikisha tena kiwango cha makala 40,000. Lengo lipya limefikiwa kunako tar. 1 Agosti 2007 - 50,000. Kwa sasa, Wikipedia ya Kilithuania ina makala zaidi ya 80,000.
Wilaya ya Marijampolė Wilaya ya Marijampolė (Kilithuania: "Marijampolės apskritis") ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 188,800. Mji wake mkuu ni Marijampolė.
Wilaya ya Utena Wilaya ya Utena (Kilithuania: "Utenos apskritis") ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 182,851. Mji wake mkuu ni Utena.
Wilaya ya Kaunas Wilaya ya Kaunas (Kilithuania: "Alytaus apskritis") ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 702,100. Mji wake mkuu ni Kaunas.
Wilaya ya Vilnius Wilaya ya Vilnius (Kilithuania: "Vilniaus apskritis") ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 182,851. Mji wake mkuu ni Vilnius.