Top 10 similar words or synonyms for pilav

kiyombe    0.952352

kibambalang    0.950924

kipinyin    0.947375

daka    0.945442

kisango    0.944691

kilunda    0.943997

kin    0.943750

ri    0.942096

kifuru    0.941707

kimiyobe    0.941520

Top 30 analogous words or synonyms for pilav

Article Example
Pilau Pilaf , pia hujulikana kama polo پلو, polao , pilau , pilav , pilaff , plov au pulao katika lugha tofauti (Kiajemi, Azerbaijani, Kazakh, Kyrgyz, Kituruki, Kiuzbeki, Turkmenistan, Urdu, Kihindi, Pashto, nk), ni mlo ambao nafaka, kama vile mchele au ngano uliopasuliwa, hubadilishwa rangi kuwa hudhurungi katika mafuta, na kisha hupikwa katika supu ambao una ladha. Neno la Kiingereza "pilaf" limechukuliwa moja kwa moja kutoka kwa lugha ya Kituruki, lakini maneno haya yote hata hivyo yanatoka kutoka lugha ya Kiajemi پلو, ambalo linatamkwa [1] katika Kiajemi (Dari), na katika Kiajemi ya Kiirani, "Polow" . Katika Kiurdu neno hutamkwa kama "pulāo" پلاو. Kutegemea na vyakula vya mtaa, pilau inaweza kujumuisha aina mbalimbali ya nyama na mboga. Pilaf na milo sawa na pilaf ni maarufu katika vyakula vya Mashariki ya Kati, Asia ya Kati na Asia ya Kusini, Afrika ya Mashariki, Latin Amerika, na Caribbean.