Top 10 similar words or synonyms for zimechangia

asifuate    0.821345

kihula    0.797557

kibipi    0.795662

kirungwa    0.795633

millenniumit    0.795128

mutara    0.793169

kiheiban    0.791778

kilikataa    0.791382

kitauya    0.789931

kadiomiopathi    0.788193

Top 30 analogous words or synonyms for zimechangia

Article Example
Agostino wa Hippo Hasa hotuba zake, zilizoandikwa na wengine wakati alipokuwa anazitoa kwa watu akiongea nao kirahisi, zimechangia kueneza ujumbe wake. Tunazo bado karibu 600, lakini zilikuwa zaidi ya 3,000.
Ukristo barani Afrika Hasa hotuba zake, zilizoandikwa na wengine wakati alipokuwa anazitoa kwa watu akiongea nao kirahisi, zimechangia kueneza ujumbe wake. Tunazo bado karibu 600, lakini zilikuwa zaidi ya 3,000.
Historia ya Kanisa Hasa hotuba zake, zilizoandikwa na wengine wakati alipokuwa anazitoa kwa watu akiongea nao kirahisi, zimechangia kueneza ujumbe wake. Tunazo bado karibu 600, lakini zilikuwa zaidi ya 3,000.
Itikadi kali Mambo hayo yamefanya wakanamungu na wengineo wadai kwamba dini zote duniani zinaharibu maisha ya watu badala ya kuyaboresha. Watetezi wa dini wanahoji kama ni sawa kusema mwili ni mbaya kwa sababu una ugonjwa katika kiungo fulani. Itikadi kali ni saratani ambayo wote wapambane nayo, badala ya kumuua mtu aliye nayo. Dini zimechangia sana maadili ya binadamu na ya jamii, hata kama baadhi ya wanadini wameshika misimamo mibaya na kutenda mambo yasiyofaa.
Umaskini Kuanzishwa kwa soko huria kunaongeza ujumla wa bidhaa za nchi zinazofanya biashara pesa zinazotumwa kuelekea nchi maskini kama vile India, wakati mwingine hushinda uwekezaji kutoka nchi za kigeni na ni zaidi ya mara mbili ya msaada kutoka kwa nchi wanachama wa OECD (Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo). Uwekezaji wa kigeni na viwanda vinavyotengeneza bidhaa zinazouzwa katika nchi za nje zimechangia kupanuka kwa uchumi wa nchi za Bara Asia zinazokua kwa kasi mno.
Aliko Dangote Dangote alijihusisha pakubwa katika kufadhili kampeni ya Obasanjo ya kuchaguliwa upya katika uchaguzi wa mwaka 2003, ambapo yeye alichangia zaidi ya milioni N200 (milioni $ 2). Alilichangia milioni N50 (milioni $ 0.5) Msikiti wa Taifa akitumia kukindi cha "Friends of Obasanjo na Atiku", na akachangia milioni N200 (milioni $ 2) kwa hifadhi la vitabu la Rais. Zawadi hizi zenye utata kwa wanachama wa chama tawala cha People's Democratic Party zimechangia wasiwasi juu ya ufisadi licha kampeni za kupambana na rushwa zilizoongozwa na Obasanjo katika kipindi chake cha pili cha uongozi.
Panya (Rattus) Mfano 1895, chuo kikuu cha Clark, Worcester, Massachusetts (Marekani) kilianzisha kundi kubwa la panya weupe kwa ajili ya kujifunza madhara ya chakula na mapungufu mengine ya mwili. Kwa miaka mingi panya wametumika kama viungo vya tafiti za magonjwa mbalimbali na kuongeza ufahamu wetu kuhusu viasilia, magonjwa na madhara ya madawa, na mada nyingine ambazo zimechangia mambo makubwa ya afya ya mwili wa binadamu. Uchunguzi wa mwaka 2007 umebaini kuwa panya wana uwezo na akili ambapo hapo awali ulionekana upo kwa binadamu pekee na baadhi ya wanyama wa kale babu wa binadamu.
Skizofrenia Mtaalamu wa magonjwa ya akili, Kurt Schneider, (aliyezaliwa mwaka wa 1887 na kufariki mwaka wa 1967) aliorodhesha dalili mbalimbali ambazo aliamini ziliwezesha kutofautisha skizofrenia na magonjwa mengine makubwa ya kiakili. Dalili hizi hujulikana kama dalili za kiwango cha kwanza, nazo ni pamoja na imani kuwa kuna nguvu za nje zinazoongoza mtu, kutia au kutoa mawazo katika akili ya mtu au kuwasambazia watu wenginefikira za mtu. Dalili hizi pia huhusisha kusikia sauti zisizokuwepo zinazosema kuhusu fikira au matendo ya mtu au pia kuzungumza na sauti zisizokuwepo. Dalili hizi za kiwango cha kwanza zimechangia kigezo cha hivi sasa cha kutambua iwapo mtu ana skizofrenia. Hata hivyo, kuna swali, iwapo uwepo au ukosefu wa dalili hizi kwa kweli unaweza kutabiri iwapo mtu ana au hana hali hii. Uhakiki wa utafiti uliofanyika kati ya mwaka wa 1970 na 2005 ulionyesha kuwa utafiti huu haukuthibitisha wala kukanusha madai ya Schneider. Uhakiki huu ulieleza kuwa dalili za kiwango cha kwanza hazifai kutiliwa mkazo sana katika kutambua iwapo mtu ana skizofrenia.