Top 10 similar words or synonyms for zanaki

makongo    0.890226

oysterbay    0.867673

mcdermott    0.860423

kiterebu    0.857954

kisunwar    0.857272

kitolaki    0.856667

microscope    0.855844

kikorku    0.853891

kindobo    0.853493

kikokota    0.853491

Top 30 analogous words or synonyms for zanaki

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Rose Ndauka Rose Ndauka (amezaliwa 7 Oktoba, 1989) ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania. Alipata elimu yake katika shule ya sekondari Zanaki- Dar es Salaam alipomaliza mnamo mwaka 2008.
Halima James Mdee Alianza kusoma elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam mwaka 1985 na kuhitimu mwaka 1991. Alichaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari ya Wasichana Zanaki mwaka 1992 na kuhitimu kidato cha nne mwaka 1995.
Yvonne Cherrie Akabahatika kufaulu na kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya serikali ya Zanaki Girls hadi mwaka 1998. Baada ya hapo alisoma katika chuo cha Uhazili Magogoni (ukatibu muhtasi-secretary). Mwaka wa 2002 alijiunga na British Council Tanzania ili kusomea zaidi lugha ya Kiingereza (Pre-Advanced Level) Mwaka wa 2003-2005 alijiunga na Wilnag Media Taining College huko mjini Nairobi, Kenya na kusomea masuala ya vyombo vya habari na kupata stashahada (Diploma in Mass Communication).
Angellah Kairuki Kapata elimu yake ya upili katika shule ya upili ya Kilakala 1991 – 1994, elimu ya juu ya upili katika Shule ya upili ya wasichana Zanaki 1995 – 1997. Alipata shahada yake ya sheria kutoka chuo kikuu cha Hill nchini Uingereza mwaka 1998 - 2001. Alipata Stashahada ya uzamili katika sheria Chuo Kikuu Cha Staffordshire kwa kushirikiana na mafunzo ya kati ya sheria 2001 – 2002. Alifanyakazi katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kama atibu wa sheria na wakili kati ya mwaka 2004 na 2008. Kairuki alihamia sekta binafsi kama mkuu wa idara ya maadili, mwafaka na Utawala katika VODACOM Group PTY.
Angela Damas Angela amekuwa katika harakati mbalimbali za kijamii ambazo alianza kujishughulisha nazo tokea akiwa katika elimu ya sekondari. Angela alianza elimu yake ya chekechekea nchini Ukraine, na baada ya hapo kuendelea nchini Tanzania alipohamia na baba yake. Nchini Tanzania, Angela alianza elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Kisiwandui iliyopo Zanzibar, halafu kuhamia shule ya msingi Kawe iliyopo Dar es salaam akiwa darasa la pili. Angela alisoma elimu yake ya sekondari katika shule ya sekondari ya Makongo , na kumalizia high school katika shule ya sekondari ya Zanaki, zote zipo jijini Dar es salaam, Tanzania.