Top 10 similar words or synonyms for zamfara

yobe    0.959851

jigawa    0.952371

ogun    0.951842

kwara    0.949383

ekiti    0.944045

malangali    0.940612

yenice    0.940490

tlaxcala    0.936751

usongwe    0.936501

cavally    0.936004

Top 30 analogous words or synonyms for zamfara

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Jimbo la Zamfara Zamfara ni jimbo ya Nigeria. Mji mkuu wake ni Gusau.
Siasa ya Nigeria Shirikisho limegawanywa katika majimbo 36 na eneo 1 *; makao mkuu ya shirikiho (Abuja) *, Abia, Adamawa, Akwa Ibom, Anambra, Bauchi, Bayelsa, Benue, Borno, Cross River, Delta, Ebonyi, Edo, Ekiti, Enugu, Gombe, IMO, Jigawa, Kaduna, Kano, Katsina, Kebbi, Kogi, Kwara, Lagos, Nasarawa, Niger, Ogun, Ondo, Osun, Oyo, Plateau, Rivers, Sokoto, Taraba, yobe, Zamfara
Jimbo la Sokoto Mwaka wa 1967, si muda mrefu baada ya Nigeria kupata uhuru kutoka Uingereza, eneo hilo lilijulikana kama jimbo la Northwestern. Mwaka wa 1976, eneo hili liligawanywa katika majimbo mawili ya Sokoto na Niger. Baadaye, jimbo la Kebbi (1991) na jimbo la Zamfara (1996) zilijitoa katika jimbo la Sokoto.
Nigeria Tangu mwaka 1999 suala la sharia au sheria za Kiislamu limeleta utata na mapambano katika majimbo kadhaa. Jimbo la Zamfara linalokaliwa hasa na Wahausa ambao ni Waislamu liliamua kuwa na sharia kama sheria ya kijimbo mwaka 1999 na majimbo mengine yalifuata. Kwa sasa ni Kano, Katsina, Niger, Bauchi, Borno, Kaduna, Gombe, Sokoto, Jigawa, Yobe na Kebbi. Kanuni za sharia hazitumiwi kwa namna moja kati ya majimbo haya; mapambano yalitokea juu ya jinsi gani sharia inaathiri raia wasio Waislamu.
Jimbo la Sokoto Kutoka ca. 1900, wakati Waingereza walianza ukoloni, Sokoto, ambayo ililkuwa inazunguka sehemu nzima ya kona ya kaskazini-magharibi ya Nigeria, ikawa mkoa wa "British protectorate" wa Nigeria. Hii haikuwa muda mrefu baada Gando kuongezwa kama mkoa mdogo wa Sokoto. Mikoa hii miwili kisha ilifunlika eneo a eneo maili elfu 35 (eneo a eneo kilomita elfu 90) na wakazi walikadiriwa kuwa zaidi ya laki 5. Mikoa hii ilijumuisha falme za Zamfara na Argunga, au Kebbi.