Top 10 similar words or synonyms for zain

nala    0.907849

glyn    0.907621

kilamba    0.904664

omwana    0.901554

kiikwere    0.899748

kimbu    0.899025

ifc    0.898425

kikwaja    0.896212

yezu    0.896127

chenjerai    0.895061

Top 30 analogous words or synonyms for zain

Article Example
Zain Verjee Zain ni Mwislamu wa Ismaili. Katika mawazo yake kuhusu Safari ya Mecca, yeye aliandika:
Zain Verjee "Kuna msemo wunaosema kuwa muumini anayesafiri kuenda Mecca kwa Hajj anafaa kutoka jiji hilo takatifu ili asiipende sana."
Zain Verjee Zain Verjee (alizaliwa 11 Februari 1974) ni mwandishi wa Kanada mwenye asili ya Kihindi. Alizaliwa na kulelewa nchini Kenya. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha "CNN" cha "World Report" yaani ripoti ya dunia nzima, kipindi hiki huandaliwa jijini London,Uingereza. Hapo awali, yeye alifanya kazi kama msoma habari katika kipindi cha "The Situation Room", mwanahabari mshirika wa idara ya serikali na mtangazaji mwenza wa kipindi cha CNN cha "Your World Today."
Zain Verjee Mnamo Julai 2006, aliripoti kutoka kwa DMZ ya Korea na katika mwezi wa Septemba, aliko fanya mahojiano na aliyekuwa rais wa Iran, Mohammed Khatami.
Maher Zain Maher Zain ( ; amezaliwa tar. 16 Julai, 1981 mjini Tripoli, Lebanon) ni mwimbaji wa Kiislamu-R&B kutoka nchini Uswidi/. Pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki vilevile. Asili yake ni Lebanoni. Alitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la "Thank You Allah", albamu iliyotamba kimataifa na yenye mafanikio na vilevile ina athira ya dini ya Kiislamu, mnamo 2009. Akatoa albamu yake ya pili "Forgive Me" mnamo tar. 2 Aprili, 2012.