Top 10 similar words or synonyms for wyclef

pras    0.978970

lauryn    0.958547

bayyan    0.935751

khalis    0.928210

darryl    0.920008

wakimshirikisha    0.918036

nappy    0.912461

diana    0.911728

tommy    0.911471

buddy    0.909431

Top 30 analogous words or synonyms for wyclef

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Wyclef Jean Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.
Wyclef Jean Nelust Wyclef Jean (amezaliwa tar. 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kiamerika. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.
D'banj Aliitwa Michael Jackson wa Afrika na Wyclef walipokutana katika MTV AFRICAN MUSIC AWARDS 2009.
Exit 13 Wachangiaji wengie wa katika albamu hii ni pamoja na 50 Cent, Sheek Louch, Fat Joe, Ryan Leslie, Wyclef Jean, The-Dream, Lil Mo, Grandmaster Caz, Funkmaster Flex, Richie Sambora na Darlisa Blackshere.
The Fugees The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi liliamza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/mwimbaji/mtayarishaji Wyclef Jean, rapa/mwimbaji/mtayarishaji Lauryn Hill, na rapa Pras Michel.
Beres Hammond Pengine huu ndio wimbo wake bora zaidi nchini Marekani na Ufalme wa Muunganona iliitilia msingi ngoma ya "Is This a Sign" na "Respect to You Baby" mnamo 1992 katika albamu ya "Love Affair". Huku akihitajiwa na lebo nyingi zilizofahamika kama Elektra Records, Hammond alirekodi albamu tano zaidi mnamo miaka ya 1990 na pia albamu nyingi za mkusanyiko, huku akijiimarisha kama msanii mmojawapo bora zaidi katika mwenendo wa Lovers rock. Albamu yake ya kwanza ya mileniam mpya ilikuwa "Music Is Life", iliyotolewa mnamo 2001 ambayo ilishirikisha uonekanaji wa Wyclef Jean. Toleo lake la 2004 la "Love Has No Boundaries", lilishirikisha uonekanaji spesheli wa Buju Banton a Big Youth.
Pras Pras alizaliwa mjini Haiti na kukulia mjini Brooklyn,New York na South Orange, New Jersey, Pras ni mkulima wa muziki toka awali. Akiwa na umri wa maiaka kumi na tatu, Pras alikutana na Lauryn Hill akiwa na umri wa miaka 12, Lauryn ni mwimbaji aliye na kipaji na sauti nzuri, Pras aliligundua hilo mwanzo tu wa kukutana nae. Mnamo mwaka wa 1988, Pras alimtamblisha Lauryn kwa "binamu yake", Wyclef Jean, na baadae wakaja kuunda kundi la muziki liloitwa Tranzlator Crew. Kundi baadae lilibadilshwa jina na kuitwa The Fugees, kama kumbu kumbu kwa wakimbizi wa Haiti waliotelekezwa katika kutaka kupita katika bahari ya Marekani.