Top 10 similar words or synonyms for whitney

storch    0.925926

teddy    0.922125

manny    0.915390

cash    0.914285

foster    0.909631

garrett    0.908484

freddie    0.907014

jennifer    0.906665

cherry    0.906031

lauryn    0.905951

Top 30 analogous words or synonyms for whitney

Article Example
Whitney Houston Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills, California.[12]
Just Whitney... Just Whitney... ni albamu ya tano kutoka kwa mwimbaji Whitney Houston, iliyotolewa mnamo 10 Desemba 2002. Albamu hii ilikuwa namba tisa kwenye chati ya "Billboard 200" ikipata mauzo ya zaidi ya nakala 205,000 kwenye wiki yake ya kwanza na mwishowe ilithibitishwa platinum nchini Marekani. Albamu hii iliuza nakala milioni 3 kote duniani.
Whitney Houston Whitney Elizabeth Houston (9 Agosti 1963 - 11 Februari 2012) alikuwa mwanamuziki wa Kimarekani, mcheza filamu na mwanamitindo. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto. Anafahamika zaidi kwa kupitia nyimbo yake ya "I Will Always Love You" na "I wanna dance with some body" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'.
Whitney Houston Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.
Whitney Houston (albamu) Whitney Houston ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop na R&B wa Kimarekani Bi. Whitney Houston. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Februari 1985 kwenye studio ya Arista Records. Awali albamu ilikuwa na matokeo madogo ya kibiashara, lakini imeanza kukusanya mafanikio yake kunako 1986 kwa msaada wa vikali vikali vitatu vilivyoingia kwenye chati za "Billboard" Hot 100 vikiwa nafasi ya kwanza. Albamu inabaki kuwa kama albamu iliouza vizuri kwa upande Houston mpaka leo hii, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 25 kwa dunia nzima, na pia ni miongoni mwa albamu zilizouza vizuri nchini Marekani na pande zingine za dunia kwa muda wote. "Whitney Houston"
Alcuin Mtakatifu Orodha hii inafuata hasa maelezo ya jumla ya Robert Levine and Whitney Bolton
Larry the Cable Guy Daniel Lawrence "Larry" Whitney (amezaliwa tar. 17 Februari 1963) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.
Greatest Love Of All Wimbo huu ulikuwa wa nne na wa mwisho kutolewa kutoka katika albamu ya Whitney Houston yenye jina sawa na la kwake, "Whitney Houston". Ilitolewa mnamo mwezi wa Aprili 1986, nakwa bahati toleo la Houston lilitamba kwa takriban majuma matatu kwenye chati za "Billboard" Hot 100 mnamo mwezi wa Mei katika mwaka huo.
Muziki kwenye miaka ya 1990 Katikati mwa miaka ya 1990s, Janet Jackson, Mariah Carey,Faith Evans, TLC, Xscape, Whitney Houston na Boyz II Men waliileta contemporary R&B katika ramani.
Saving All My Love for You "Saving All My Love for You" ni kibao kikali cha pili cha mwimbaji mahili wa muziki wa pop na R&B Bi. Whitney Houston. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake yenye jina sawa na yeye, Whitney Houston. Kibao hiki chenye mandhari ya jazz na ballad (kilitolewa Agosti 1985) kinahusu mambo ya mapenzi na mume wa mtu, na mwimbaji huo "anatoa mapenzi yake yote kwa bwana huyo". Wimbo huu umetungwa na Michael Masser na Gerry Goffin. Wimbo ulipangwa na Gene Page.