Top 10 similar words or synonyms for wanted

tha    0.962990

dead    0.952590

cold    0.950485

once    0.949607

easy    0.946615

dirty    0.946546

better    0.945612

forever    0.944545

alive    0.944504

born    0.944054

Top 30 analogous words or synonyms for wanted

Article Example
Malibu's Most Wanted Malibu's Most Wanted ni filamu ya vichekesho ya mwaka wa 2003 ambayo imetungwa na kuchezwa na Jamie Kennedy akiwa na washiriki wenzi Taye Diggs, Anthony Anderson, na Regina Hall.
Malibu's Most Wanted Wanachama wa kikosi cha kampeni kimekodisha waigizaji wawili, ambao hawajui undani zaidi wa maisha ya mjini zaidi ya B-Rad, kwa kuigiza kama majambazi, wakamtekanyara, na wakampeleka huko South Central Los Angeles ambapo walitumainia kwamba Brad ataogopa kwa kuwa yeye mzungu - hasa baada ya kushuhudia maisha ya kitaa yapo vipi. Kwa bahati mbaya kila aliyejiingiza, mpango unavurugika baada ya Brad kutaka kujihusisha na vikundi vya kihuni na baadaye akajiingiza mwenyewe na wale waigizaji waliotumwa kuja mzingua nao pia wanamwongoza pabaya.
Malibu's Most Wanted Uhusika wa "B-Rad" awali ulionekana kipindi cha kujificha kwenye kamera cha Jamie Kennedy, "The Jamie Kennedy Experiment", lakini ilianza tangu enzi zake za ucheshi wake wa wima na kuufanya kama utaratibu endelevu.
Malibu's Most Wanted Filamu inaanza katika maisha ya familia ya Bill Gluckman, seneta Myahudi Mzungu kutoka mjini Malibu, California ambaye anagombea Ugavana wa California. Mtoto wake Brad ni Wigger (Wigger ni nadharia ya mtu Mzungu anayefuata tabia au tamaduni za Wamarekani Weusi - hasa katika hip hop), amejipendekeza mwenyewe jina la utani la "B-Rad" licha ya kuwa na utajiri katika familia yake, maisha ya kivulini. Imetokea, wanachama wa Bwana Gluckman wa kampeni za kisiasa wamekuwa na wasiwasi na upuuzi wa Brad, tabia za kishenzi zinazopelekea kuharibu nafasi ya baba'ke asichaguliwe.
Malibu's Most Wanted Filamu hii ilitungwa na waanzilishi wa "MADtv", Fax Bahr na Adam Small, ambao pia wamesimama kama watayarishaji wa filamu hii.