Top 10 similar words or synonyms for wamekimbia

walikimbia    0.782416

waalbania    0.773437

walikimbilia    0.761864

wakitokea    0.752972

walishambulia    0.747269

utumwani    0.743044

makwao    0.742025

wekundu    0.730596

wasomali    0.728266

wakikimbia    0.721060

Top 30 analogous words or synonyms for wamekimbia

Article Example
Sudan Umma wa miji kama Khartoum (na pia Khartoum, Omdurman, na Khartoum ya kaskazini) waongezeka zaidi: umma wa miji hii yakadiriwa milioni 6-7 na wengine wahamiaji milioni 2 ambao wamekimbia vita vya kusini, magharibi, mashariki na pia wengine kwa sababu ya ukame.
Kimasalit Kimasalit ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Wamasalit. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 60,900. Wengi wao lakini wamekimbia vita nchini Sudan, na idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Sudan haijulikani kwa uhakika. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasalit iko katika kundi la Kinilotiki.
Darfur Kukereketwa na kupinga kukereketwa kumesababisha vifo vya watu 300.000, ingawa idadi hii inapingwa na serikali ya Khartum. Zaidi ya watu milioni 2.5 wamekimbia makazi yao tangu mwanzo wa mgogoro huo. Wakimbizi wengi wamekwenda katika makambi ambapo misaada ya dharura imeunda masharti kwamba, ingawa bado ni ya msingi sana, ni bora kuliko katika vijiji, ambayo haitoi aina yoyoye ya ulinzi dhidi ya wanamgambo mbalimbali wanaoendesha shughuli zao katika kanda.
Kichechen Kichechen ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wachechen. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichechen nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1,350,000. Wachechen wengi, takriban laki moja, wamekimbia nchi yao na kuishi katika nchi za Kazakhstan, Kirgizia, Georgia na nyingine za Asia ya Kati, Mashariki ya Kati au Ulaya. Idadi ya wasemaji katika nchi hizo hazijulikani, ila mwaka wa 2013, wasemaji 3200 walihesabiwa nchini Yordani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichechen iko katika kundi la Kinakh.
Mkimbizi Tangu mwaka wa 1991, kiasi kikubwa cha idadi ya watu nchini humo ambao si Waislamu, ikiwemo Warusi wa Wayahudi wamekimbia Tajikstan kwa sababu ya umaskini mwingi, ukosefu wa usalama, na Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe vya Tajikistan (1992-1997). Mnamo mwaka wa 1992, kiasi kikubwa cha watu wa Kiyahudi nchini humo walihamishwa hadi Israeli. Na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipokwisha, Tajikistan ilikuwa katika hali ya kusambaratika. Takriban watu milioni 1.2 walikuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.