Top 10 similar words or synonyms for walipopokea

kigermanik    0.562325

majirani    0.545823

yasiyojulikana    0.544496

kigalicia    0.535537

waindio    0.528916

uarabuni    0.526956

wachache    0.526808

waarabu    0.519151

makazi    0.514498

wamependa    0.512271

Top 30 analogous words or synonyms for walipopokea

Article Example
T "Tâw" ilikuwa herufi ya mwisho katika alfabeti ua Wasemiti wa kale. Alama yake ilikuwa msalaba. Wagiriki walipopokea alama za Wafinisia waliiita alama Tau na kusukuma mstari wa kulala juu hadi mwanzo wa mstari wa kusimama.
Kiswahili Inaonekana ya kwamba lugha mpya ilijitokeza wakati wenyeji wa pwani, waliokuwa wasemaji wa lugha za Kibantu, walipopokea maneno mengi hasa ya Kiarabu katika mawasiliano yao. Kwa hiyo msingi wa Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu pamoja na maneno mengi ya Kiarabu. Imekadiriwa ya kwamba karibu theluthi moja ya maneno ya Kiswahili yana asili ya Kiarabu.
Matengenezo ya Meiji Utawala wa shogun haukuwa moja kwa moja bali ulikuwa ngazi ya juu katika mfumo wa ukabaila. Daimyo au makabaila wakubwa walisimamia majimbo yao walipopokea kodi za wenyeji. Cheo cha daimyo pamoja na utawala juu ya jimbo lake kilirithiwa ndani ya familia fulani. Chini yao kulikuwa na makabaila wadogo ambao wengi wao walikuwa samurai wa tabaka la askari.
F Waetruski walipopokea alfabeti kutoka Wagiriki walikuwa na haja kwa sauti iliyopotea katika Kigiriki kwa hiyo walitumia digamma tena kama herufi. Walihitaji pia alama ya sauti "f" isiyopatikana katika Kigriki cha wakati ule. Waetruski walitumia digamma pamoja na alama ya pili kwa sauti ya F.
Ndugu Wadogo Ingawa uenezi wa Uprotestanti ulifunga konventi nyingi, hakuna hata moja iliyoasi jumla. Idadi ya Wafransisko waliouingia ni ndogo kulingana na ile ya walioupinga tangu ulipoanza, kabla wengi hawajatambua hatari. Kardinali wa Brandeburg aliwakataza (1519) wasiendelee kuhubiri dhidi ya Martin Luther, kumbe Mtumishi mkuu alipofika Ujerumani aliagiza maandishi yake yachomwe, wahubiri waandaliwe kumshambulia tena na wanashirika wote wasali na kujiandaa kufia imani (kama walivyofanya walau 500 katika miaka 1520-1620). Walutheri walitokeza chuki yao kwa kueneza kitabu cha dhihaka “Kurani ya Pekupeku”. Baadaye Ndugu Wadogo wakawa kati ya mashirika muhimu zaidi katika kurudisha Ukatoliki kwenye miji na vijiji. Wakapuchini walianza kupambana na Uprotestanti kwa mahubiri na katekesi huko Italia usije ukaipenya, wakawa wa kwanza kujitolea kutumwa na Idara ya Papa kwa Uenezaji wa Imani mara ilipoanzishwa (1622). Chini yake juhudi ziliongezeka na kupangwa vizuri zaidi. Chuo chake mjini Roma kilianzishwa (1627) hasa kwa juhudi na ukarimu wa Kardinali Mkapuchini. Idara ilikuwa ikituma wale wote waliopendekezwa na wakubwa wao wakiwa na sifa upande wa maadili na elimu. Katika karne XVII idadi kubwa ya waliotumwa ni Wakapuchini. Agizo la shirika lilikuwa kuwasiliana na Waprotestanti kwa kufuata mbinu za Fransisko wa Sales (+1622), yaani kwa upole, usikivu na ushuhuda wa maisha safi yenye kujitosa. Pia Wakapuchini walishirikisha waamini katika kazi hiyo ngumu, na kuandika vitabu vya mabishano. Huko Uingereza na Irelandi baada ya kufukuzwa wote, kwa karne tatu Wafransiskani wakaendelea kuingia ili kufanya utume kwa siri kutoka Ulaya Bara walipopokea na kulea miito ya visiwa hivyo.