Top 10 similar words or synonyms for waliosikitika

abdullahi    0.794982

zilishirikiana    0.789435

unatarajiwa    0.772396

derg    0.770591

mutua    0.768598

nak    0.767525

hosni    0.763216

mobutu    0.762936

aliwashinda    0.757990

ldp    0.753349

Top 30 analogous words or synonyms for waliosikitika

Article Example
National Alliance Party of Kenya Miezi michache kabla uchaguzi kulitokea farakano kubwa katika KANU. Kundi la Raila Odinga iliondoka pamoja na wanaKANU wa miaka mingi waliosikitika uteuzi wa Uhuru Kenyatta kama mgombea wa urais upande wa KANU.
Sturmabteilung Ilianzishwa 1921 kama kikosi cha kulinda mikutano ya NSDAP iliyovurugwa mara nyingi na wapinzani waliosikitika matamshi ya Hitler. Hitler aliweza kutumia wanajeshi walioachishwa jeshini baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Kiongozi wa SA alikuwa kapteni Ernst Röhm.
National Development Party of Kenya Lakini katika Oktoba 2007 farakano kubwa likatokea ndani ya KANU baada ya rais Moi kumteua Uhuru Kenyatta kama mfuasi wake. Raila aliondoka katika KANU akifuatwa na kundi lake la NDP ya awali. Kundi ka NDP liliondoka pamoja na wanaKANU waliosikitika uteuzi wa Uhuru Kenyatta.
Mengistu Haile Mariam Mwaka 1974 serikali ya kaisari Haile Selassi ilishindwa kutatua matatizo ya ukame, njaa na mvurugo wa wananchi waliosikitika serikali. Sehemu za jeshi zilianza kukataa utekelezaji wa amri. Kamati ya maafisa wa ngazi iliundwa Addis Ababa kwa shabaha ya kurudisha utaratibu nchini. Baada ya miezi ya kwanza walipanusha kamati yao kwa wawakilishi kutoka kila kikosi cha jeshi na kamati ilijulikana kwa kifupi chake cha "Derg".
Ming (nasaba) Kaisari wa mwisho wa Ming Chongzhen Sizong alipinduliwa na wakulima chini ya kiongozi wao Li Zicheng aliyejitangaza kuwa kaisari mpya. Lakini alikosa uwezo wa kutawala hakuwa na uwezo wa kuzuia jeshi la Wamanjuria walioingia wakisaidiwa na maafisa wa jeshi jeshi la Ming katika kaskazini waliosikitika mapinduzi.
LDP (Kenya) LDP ilikuwa chama kidogo sana bila maana yoyote hadi 2002. Mwaka ule kulikuwa na farakano katika chama tawala cha KANU. Raila Odinga aliyewahi kujiunga katika KANU 2001 pamoja na wenzake wa chama cha NDP aliondoka tena baada ya rais Daniel arap Moi kumtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mgombea wa KANU kwa ajili ya uchaguzi wa 2002. Wanasiasa wengine wa KANU kama vile Kalonzo Musyoka, George Saitoti na wengine waliosikitika hatua hii ya Moi walienda pamoja na Odinga wakajiita harakati ya pinde (Rainbow Movement). Kwa kusudi la kuingia katika uchaguzi walihitaji kuwa haraka na chama kilichoandikishwa. Wakaogopa kuandikisha Rainbow kwa sababu hawakuwa na uhakika kama serikali ya Moi ingewazuia au la. Hapa walijiunga wote na LDP kwa sababu ilikuwa imeandikishwa tayari.