Top 10 similar words or synonyms for walioletwa

walikimbilia    0.739250

wekundu    0.729506

waliohamia    0.726670

walipelekwa    0.724700

waalbania    0.718462

wamekimbia    0.715670

wapelelezi    0.714358

walikimbia    0.712576

walihamia    0.711003

walikuja    0.709473

Top 30 analogous words or synonyms for walioletwa

Article Example
Benedikto Mwafrika Benedikto Manasseri alizaliwa na Kristoforo na Diana, walioletwa kutoka Afrika (labda Ethiopia) mwaka 1524.
Marekani Baadaye Marekani ilipanua eneo lake hadi bahari ya Pasifiki ikatwaa ardhi ya Maindio wazalendo, ikapokea wahamiaji wengi kutoka nchi zote za Ulaya pamoja na watumwa walioletwa kutoka Afrika.
Afrika Kusini Karne za kwanza za koloni la Kiholanzi ziliona pia kufika kwa watumwa kutoka Indonesia walioletwa kama wafanyakazi wa Waholanzi na Makaburu. Hao Waindonesia walikuwa chanzo cha jumuiya ya Uislamu kwenye rasi.
Historia ya Afrika Kusini Karne za kwanza za koloni la Kiholanzi ziliona pia kufika kwa watumwa kutoka Indonesia walioletwa kama wafanyakazi wa Waholanzi na Makaburu. Hao Waindonesia walikuwa chanzo cha jumuiya ya Uislamu kwenye rasi.
Mto Conwy Bonde la kati la mto huu chini ya Betws-y-relativt Coed ni pana na lina rutuba, na linasaidia kilimo cha maziwa na kondoo. Katika wakati wa baridi malisho haya hutumiwa kulea kondoo walioletwa chini ya milima ili kuepuka mabaya ya hali ya hewa ya baridi.
Isa Kwao Nabii Isa ni mtume anayeaminiwa kuwa mmojawapo wa mfululizo wa mitume na manabii watukufu 124,000 wa Mwenyezi Mungu walioletwa ulimwenguni kuwapasha wanadamu ujumbe wa upweke na umoja wake, ili wamuabudu Yeye peke yake akiwa ndiye Muumba na Mruzuku wao hapa duniani. Mitume na Manabii hawa wameletwa katika zama mbalimbali na kwa watu, kaumu na umma mbalimbali, na mfululizo huu ulianza na Adamu, baba wa wanadamu wote, hadi Mtume Muhammad akiwa ndiye wa mwisho.
Chuo Kikuu cha Kikristo cha Pan Africa Madarasa ya PAC ilifunguliwa mnamo 2 Mei 1978, ikiwa na wanafunzi 6 na idadi hiyo imeongezeka na kuwa zaidi ya wanafunzi 300. Kitivo cha PAC kinajumuisha raia wa Afrika na vilevile walilmu wasio Waafrika walioletwa na PAOC. Kwa kuongezea Kitivo cha kufunza wanafunzi siku nzima, Chuo hiki Kikuu kina idadi ya kitivo ambacho si cha siku nzima katika Nyanja zao za utaalam. . Kitivo cha siku nzima kwa kawaida huwa kina uzoefu wa kichungaji na digrii ya waliopata shahada.
Historia ya Wokovu Kama kawaida, imani yao ilitakiwa kupitia majaribu mbalimbali, kuanzia mazingira magumu, kwa sababu hali waliyoikuta ilikuwa mbaya kuliko ile ya kabla ya uhamisho: majengo na mashamba yalikuwa yameharibika kwa kukaa miaka 48 bila ya watu, tena makabila ya jirani hawakupenda Wayahudi warudi, hivyo waliwazuia kwa namna mbalimbali. Wasamaria, mchanganyiko wa mabaki ya Israeli kaskazini na watu wa mataifa walioletwa na Waashuru waishi nao, walitaka kusaidia ujenzi wa hekalu, lakini walipokataliwa wakawa maadui moja kwa moja.
Anthropolojia ya Kimarekani Katika miaka ya 1940 na 1950,tafiti kadhaa muhimu zimelengwa kwenye namna biashara baina ya watu wenyeji asilia na wazungu kutoka ulaya ambao walikuwa wametawala Amerika na kuathiri utamaduni wa kienyeji kupitia kwa mabadiliko katika mipanglio ya kazi au kupitia kwa mabadiliko katika teknolojia muhimu. Bernard Mishkin alitafiti kuhusu athari ya kuanzishwa kwa farasi katika mpanglio wa kisiasa na vita wa Kiowa. Oscar Lewis naye akachunguza athari ya biashara ya usufi kwa utamaduni wa blackfoot(akitegemea sana marejeleo ya kihistoria). Joseph Jablow aliandika namna mpangilio wa kijamii na mbinu za kula za Cheyenne zinavyoamuliwa na nafasi yao katika mitandao ya biashara inayounganisha wazungu na wahindi kati ya mwaka wa 1795 na 1840. Frank Secoy alielezea kuwa mpangilio wa kijamii na mbinu za kijeshi za wahindi wa Great Plains ulibadilika wakati farasi walioletwa na Wahispania kutoka kusini zilisambaa hadi kaskazini na bunduki zilizoletwa na Waingereza na Wafaransa kutoka mashariki,zilisambaa hadi magharibi.