Top 10 similar words or synonyms for voelpel

braden    0.857559

newsroom    0.845221

jacobs    0.844479

hemingway    0.842392

tobias    0.833420

angell    0.832184

griffin    0.830030

friedman    0.829029

korotayev    0.828514

glyn    0.824230

Top 30 analogous words or synonyms for voelpel

Article Example
Sven Constantin Voelpel Kitabu chake kilichochapishwa hivi karibuni, "Mentale, emotionale und körperliche Fitness" kimedhihirisha utafiti wake juu ya ustawi na ufanisi binafsi wa watu. Kitabu hiki kimepokea maoni chanya juu katika "Magazin für Gesundheit und Wohlbefinden – Gesund …" katika gazeti la Die Zeit na kuchapishwa katika nakala 650,000.
Sven Constantin Voelpel Voelpel alikuwa mshiriki wa bodi ya wahariri katika jarida la (2004-2010), na Journal of Knowledge Management (2004-2006).Tangu mwaka wa 2008 hadi hivi sasa amekuwa mshiriki wa bodi ya wahariri katika jarida la Organization Studies (Journal).
Sven Constantin Voelpel Voelpel alipokea shahada yake ya uzamili katika Uchumi, Sayansi za Jamii na Usimamizi wa Biashara kutoka Chuo kikuu cha University of Augsburg mwaka wa 1999 na shahada yake ya PhD katika Usimamizi wa biashara kutoka chuo kikuu cha University of St. Gallen mwaka wa 2002 nchini Uswizi.
Sven Constantin Voelpel Utafiti wa Voelpel unazingatia maswala katika nyanja za uongozi,ufanisi wa timu,usimamizi wa maarifa na usimamizi wa mabadiliko na demografia na usimamizi wa utofauti.
Sven Constantin Voelpel Sven Constantin Voelpel (amezaliwa 13 Oktoba, 1973 mjini Munich) ni mtaalamu nadharia shirika Ujerumani na Profesa wa Usimamizi wa Biashara katika shule ya Utu na Sayansi za Jamii Chuo Kikuu cha Jacobs University Bremen nchini Ujerumani. Anajulikana kwa kazi yake katika uwanja wa kumudu mikakati, miundo ya biashara na kumudu maarifa .
Sven Constantin Voelpel Voelpel alianza kazi yake ya kitaaluma kama Post-Graduate katika chuo kikuu cha Harvard University mwaka wa 2002 nchini Amerika na akaendelea na utafiti wake katika chuo kikuu cha Oxford University mwaka wa 2008.Mnamo mwaka wa 2003-2004 alikuwa Profesa mshirika katika Chuo kikuu cha University of Groningen na katika chuo kikuu cha Norwegian School of Economics. Mwaka wa 2004 alihamia chuo kikuu cha Jacobs University Bremen ambapo aliteuliwa kama Profesa wa Usimamizi wa Biashara.
Sven Constantin Voelpel Mwaka wa 2007 Voelpel alianzisha WDN- WISE Demographics Network Bremen Ujerumani na amekuwa mkurugenzi wake tangu kuanzishwa.WDN hutoa suluhu maalum za kisayansi kwa kampuni zinazoshirikiana nayo.Suluhu hizi zinashughulikia maswala yanayohusiana na demografia ya wafanyakazi.
Sven Constantin Voelpel Makala yake “The rise of knowledge towards attention management“ yametambuliwa kama mojawapo ya makala yenye kiwango cha juu katika uwanja wa usimamizi wa maarifa kutokana na idadi nyingi ya kurejelewa yamepokea katika uandishi wa makala mengine. Mwaka wa 2009 na 2012 aliorodheshwa kama mmojawapo wa watafiti 100 bora wenye umri wa chini ya 40 na Handelsblatt. Katika tija ya binafsi aliorodheshwa katika nafasi ya 33 na KM/IC researchers.
Sven Constantin Voelpel Kama mkurugenzi mwanzilishi wa WDN utafiti wa Voelpel katika uongozi wa demographia umekuwa ukishawishi vyema mazingira ya kazi ya mamilioni ya wafanyakazi katika kampuni zinazoshirikiana na WDN.Baadhi ya kampuni hizi ni Daimler AG, Deutsche Bahn, na Deutsche Bank miongoni mwa zingine .Mwaka wa 2013 WDN ilianzisha programu ya mashindano kwa jina "Intergenerational Competence and Qualification Program",yaliyofanywa na Federal Ministry of Education and Research (Germany) (BMBF) “ ili kutafuta suluhu mwafaka kwa mabadiliko ya demographia katika utendakazi.