Top 10 similar words or synonyms for vinatumika

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for vinatumika

Article Example
Omani Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiarabu, lakini Kibeluchi, Kiurdu na Kiingereza pia vinatumika sana.
Katekisimu Vitabu vya namna hiyo vinatumika toka karne za kwanza za Kanisa la Magharibi hasa kwa kuandaa watu kupokea ubatizo na sakramenti nyingine.
Tasbihi Ili kutunza hesabu ya kauli hizo, vinatumika ama mifupa ya mkono wa kulia ama punje zilizounganishwa katika kamba au uzi (misbaha) inayofanana na ile ya dini nyingine, k.mf. ya Wakristo Waorthodoksi (kamba ya sala) na Wakatoliki (rozari).
Kifafa Katika 70% za matukio inawezekana kuyadhibiti. Isipowezekana tiba, pengine upasuaji, uchocheaji wa neva na mabadiliko ya ulaji vinatumika. Si kila mara kifafa kinadumu maisha yote: kuna watu wanaopata nafuu kiasi cha kutohitaji tena dawa.
Kamba (gegereka) Fumbatio inabeba idadi mbalimbali za viungo vinavyoitwa pleopodi na ambovyo vinatumika kwa kuogelea na kuatamia mayai. Kwa spishi nyingine jozi ya kwanza, na pengine jozi ya pili pia, ya madume imetoholeka ili kumwekea jike manii. Viungo vya pingili ya mwisho huitwa uropodi na mwishoni kwa fumbatio kuna telsoni. Uropodi na telsoni pamoja zinaumba kipepeo cha mkia kinachotumika kwa kutimuka kikikunjwa kwa kasi.
Trichuriasis Kwa kawaida maradhi haya yanaambukiza kutokana na kula chakula au kunywa maji yenye mayai ya minyoo hii. Mara nyingine maradhi yanatokea katika miboga inayoambukizwa na haijasafishwa wala kupikwa vya kutosha. Mara nyingi mayai haya yamo ndani ya ardhi ya mahali ambapo watu wanaenda haja kubwa ((kunya nje)) pia ambako vinyesi visivyotiliwa dawa vinatumika kama mbolea.
Eskişehir Pia kuna majumba ya maonyesho ya mawe ya meerschaum, ambazo shuhuli zake bado zinatamba hadi leo, ambavyo leo hii vinatumika kutengenezea kiko za kuvutia sigara zenye ubora hali ya juu. Mnamo karne ya nne AD, karibuni km 10 zilisogea kaskazini-mashariki mwa Karadja Hissar hadi Shehir Euyuk.
Haji Dilunga Kwa vile na penda kudadaisi vitu na kufanya uchunguzi,amefanikiwa kugundua mambo mbali mbali ya maisha na tabia za watu na hatimaye kuandika vitabu vya watoto vinavyotumika shuleni kama vitabu vya ziada ambavyo ni Sungura na kassa, Jamila na pete ya ajabu. Vinatumika katika shule za msingi. Pia ameandika vitabu vya mahusiano kama vile Penzi Starehe na Mapenzi ya Ajabu.
Elimu Matumizi ya tarakilishi na mtandao (ikiwa vinatumika) bado ni changa katika nchi zinazoendelea, na hii ni kwa sababu miundo msingi ni michache na ghali. Kwa kawaida teknolojia kadhaa hutumiwa kwa pamoja bali si mbinu pekee ya kupokelewa. Kwa mfano, Kothmel Community Radio Internet hutumia matangazo ya redio na kompyuta pamoja na teknolojia ya mtandao, na hivyo hurahisisha kugawa habari na kutoa nafasi za elimu katika kijiji fulani Sri Lanka.
Udhibiti wa saratani Vizuizi vya anjiojenesisi kuzuia ukuaji mkubwa wa mishipa ya damu (anjiojenesisi) kwamba vivimbe huhitaji ili kuishi. Baadhi ya vizuizi hivi, kama vile bevacizumab, vimekubaliwa na vinatumika kwenye kliniki. Mojawapo ya matatizo makuu ya madawa ya kupambana na anjiojenesisi ni kwamba mambo mengi huchochea ukuaji wa mishipa ya damu katika seli za kawaida au zenye kansa. Madawa ya kupambana na anjiojenesisi hulengo jambo moja tu, hivyo kwamba mambo mengine huendelea kuchochea ukuaji wa mishipa ya damu. Matatizo mengine ni pamoja na njia ya matumizi, kudumisha utulivu // uthabiti na shughuli na kulenga katika mishipa ya uvimbe.