Top 10 similar words or synonyms for usingizi

kuhisi    0.867747

uchungu    0.862342

uchovu    0.856048

kupumua    0.855866

maumivu    0.852528

kujamiiana    0.852161

kupona    0.847677

pumzi    0.839561

wepesi    0.837377

figo    0.834134

Top 30 analogous words or synonyms for usingizi

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Athari za muda mrefu za pombe Matumizi sugu ya pombe katika kuleta usingizi yanaweza kusababisha ukosefu wa usingizi. Kutembea mara kwa mara katika hatua za usingizi, huku kukiwa na kuamkaamka kutokana na maumivu ya kichwa na diaforesi. Kusitisha matumizi mabaya sugu ya pombe pia kunaweza kusababisha usumbufu makubwa wa usingizi kwa ndoto nyingi. Matumizi mabaya sugu ya pombe huhusishwa na NREM hatua ya kulala ya 3 na 4 pamoja na ukandamizaji usingizi wa REM na kugawanyika kwa usingizi wa REM . Wakati wa kujiondoa katika ulevi, usingizi wa REM kwa kawaida hukolezwa kama sehemu ya athari ya kujibia.
Tatizo la Kupepesuka lenye Ukosefu wa Umakinifu Matatizo ya usingizi ya kimsingi yanaweza kuthuru umakinifu na mtindo na dalili za TKUU zinaweza kuathiri usingizi. Hivyo, inapendekezwa kuwa watoto wenye TKUU wakadiriwe kila mara kuhusu matatizo ya usingizi. Usingizi mwingi katika watoto unaweza kusababisha dalili za kimsingi kama vile kupiga miayo na kusugua macho, usukumizi, kupepesuka, uchokozi, mabadiliko ya hisia na kutomakinika. Apnea tata ya usingizi pia inaweza kusababisha dalili za aina ya TKUU.
Ubongo Usingizi huhusisha mabadiliko makubwa katika utendakazi wa ubongo. Hadi miaka 1950 iliaminika kijumla kwamba ubongo kimsingi huacha kufanya kazi wakati wa kulala, lakini hii sasa inajulikana kuwa si kweli: shughuli huendelea lakini mwelekeo huwa tofauti sana. Kwa hakika, kuna aina mbili ya usingizi, "usingizi REM" (ulio na ndoto) na usingizi "NREM" (usio-REM, kwa kawaida bila ndoto), ambao hujirudia katika mifumo tofauti kidogo katika kipindi chote cha kulala. Aina tatu tofauti za mwelekeo mpana wa shughuli za ubongo zinaweza kupimika: REM, NREM nyepesi na NREM nzito. Wakati wa usingizi mzito wa NREM, ambao pia hujulikana kama usingizi wenye wimbi pole, shughuli katika gamba huchukua mfumo wa mawimbi makubwa yenye urari, ambapo katika hali ya kuamka huwa na kelele na bila urari. Viwango vya niurohamishi norepainefrini na serotonini hupungua wakati wa usingizi wenye wimbi pole, hupungua hadi kukaribia sufuri wakati wa usingizi wa REM; viwango vya asetilikolini huonyesha mfumo ulio kinyume na huu.
Chocheeni Kuni Usingizi hapati anawaza jinsi ya kutoka
Makrina Mdogo Kwa kitambo tu utaacha miili yetu ilale usingizi,
Elijah Masinde “Usiku mmoja Aprili 1943 Mungu alimjia Masinde alipolala usingizi akamwambia:
Teolojia ya Kiroho Basi, misamiati hiyo inatuamsha kutoka [[lepe]] la [[usingizi]] na kutuonyesha lililo muhimu peke yake.
Jiua Masumbufu ya usingizi kama vile insomnia na apnea ya usingizi ni vipengele vya hatari vya mfadhaiko na kujiua. Wakati mwingine, masumbufu ya usingizi yanaweza kuwa vipengele vya hatari ya kujiua bila kutegemea mfadhaiko. Hali nyingine za kimatibabu zinaweza kuwepo, huku zikiwa na dalili sawa na matatizo ya kihisia, ikiwa ni pamoja na:hipouthiroidi, Alzheimer, tyuma ya ubongo, erithematosasi ya kitaratibu ya lupusi na madhara ya dawa (kama vile viziba beta na steroidi).
Amfetamini Amfetamini ni dawa ya kuchochea akili inayojulikana kusababisha ukosaji wa usingizi na kupunguza uchovu na hamu ya chakula.
Dawa za mfadhaiko Madawa yote makuu ya dawamfadhaiko, isipokuwa trimipramini, mirtazapini na nefazodoni huzuia kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi, na imependekezwa kuwa utendakazi wa kiafya wa madawa haya unatokana kwa kiasi kikubwa na athari zao za kuzuia kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi. Kategoria tatu kuu za madawa ya dawamfadhaiko, vizuizi vya oksidesi ya monoamini (MAOIs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya trisaikliki (TCAs) na vizuizi vya uchukuzi wa serotonini vinavyochagua(SSRIs), huzuia pakubwa kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi. Mirtazapini ama haina athari kwa kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi au huiongeza kwa kiwango kidogo. Dawa za aina ya MAOI huzuia kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi karibu kabisa, huku dawa aina za TCA na SSRI zimetambuliwa kuwa zinazalisha mara moja (40-85%) na kwa kuendelezwa (30-50%) upungukaji wa kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi. Athari hii mara nyingi huongeza uchovu kwa wagonjwa wanaotumia vipimo vikubwa vya dawamfadhaiko kwa muda mrefu. Uchovu kama huo mara kwa mara unaweza kukatiza shughuli za mgonjwa za kila siku. Ukomeshaji wa ghafla wa MAOI unaweza kusababisha tukio la muda linalojulikana kama "kurudi tena kwa kipindi cha usingizi ambapo macho huzunguka kwa kasi" ambapo mgonjwa huota ndoto dhairi sana na jinamizi.