Top 10 similar words or synonyms for urugwai

franc    0.925703

republik    0.920864

aerolineas    0.918459

cz    0.916119

singapur    0.915861

micronesia    0.914468

macedonia    0.913068

taca    0.912206

aero    0.911231

liechtenstein    0.909111

Top 30 analogous words or synonyms for urugwai

Article Example
Shirika la Msalaba Mwekundu Mwaka wa 1906, Mkataba wa Geneva wa 1864 uliundwa upya kwa mara ya kwanza. Miaka moja baadaye, Mkataba wa Hague X, ulioratibishwa katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Amani mjini Hague, uliupanua Mkataba wa Geneva kujumuisha pia Vita vya majini. Muda mfupi kabla ya Vita Kuu vya Kwanza vya Dunia kuanza mwaka wa 1914, na miaka 50 baada ya kuanzishwa kwa ICRC na kupitishwa kwa Mkataba wa Geneva, tayari kulikuwa na Vya vya kitaifa 45 duniani kote. Vuguvugu hili lilikuwa limeenea hadi nje ya Ulaya na Amerika ya Kaskazini hadi ya Amerika ya Kati na Kusini (Argentina, Brazil, Chile, Cuba, Mexico, Peru, El Salvador, Urugwai, Venezuela), Asia (Jamhuri ya China, Japan, Korea, Siam), na Afrika (Jamhuri ya Afrika Kusini).
Ndugu Wadogo Tofauti na India, Afrika na Brazili (zilizokabidhiwa na Papa kwa Wareno), sehemu nyingi za Amerika zilikabidhiwa kwa Wahispania. Kanda OFM ya visiwani ilizidi kustawi hata watawa wake kufanya kazi ngumu Venezuela na Guyana (1540); baada ya majaribio kadhaa wakafaulu kupenya kati ya wazalendo wa Panama halafu kuenea Kolombia, ambapo hadi mwisho wa karne XVI walibatiza Wahindi Wekundu 200,000. Wakati huo barani kulikuwa na kanda yenye ndugu 145; miaka 100 baadaye walikuwa 338. Wafransiskani 2 walifika Mexico pamoja na wavamizi (1519), lakini kazi rasmi ilianza miaka 5 baadaye, walipotumwa Waguadalupe 12 walioandaliwa vizuri; hao wakatunga sarufi, kamusi na katekisimu kwa lugha ya Kiazteka na kuanzisha shule. Watu waliongoka kwa wingi mkubwa ajabu: 200,000 hadi mwaka 1529, 1,000,000 hadi 1531, 5,000,000 hadi 1536, 9,000,000 hadi 1540 (Wamersedari, halafu Wadominiko na Waagustino walisaidia pia). Ndugu Wadogo walienea Kusini (1525) hadi Gwatemala, Honduras na Nikaragua, na Kaskazini (1527) katika maeneo ambayo sasa ni Marekani Kusini. Kanda ya Mexico iliyoanzishwa mwaka 1535 ikazaa nyingine 7 hadi Marekani Kusini (1612). Pekupeku pia walianzisha kanda (1599). Mwisho wa karne XVII kulikuwa na Wafransiskani 2,400, wengi wao wakiwa wananchi. Wavamizi wa Peruu pia waliongozana na Wafransisko katika safari ya kwanza (1527), halafu wakaletwa “mitume 12” waliofanya kazi bora Meksiko (1531), wakifuatwa na wengine wengi kutoka Hispania hata ikaundwa kanda (1553) ambayo nyumba yake mojawapo ilifikia kuhudumia parokia 29 kati ya Wahindi Wekundu: Wafransisko 129 waliuawa nao. Mjini Lima ilianzishwa konventi kubwa ya malezi kwa wamisionari wa Amerika Kusini karibu nzima. Mapema waliingia Ekwador (1533) wakaunda kanda (1565), sawasawa na walivyofanya Chile, ingawa huko hawakuongezeka sana kwa sababu wengi waliuawa katika mapigano ya muda mrefu ya wenyeji dhidi ya wakoloni. Toka Peruu Ndugu Wadogo walifanya umisionari kati ya Wahindi Wekundu wa Bolivia pia hadi mwaka 1793. Walikuwa pia wa kwanza kufika Amerika Kusini Mashariki (Paragwai, Ajentina na Urugwai) ilipoanzishwa kanda (1612). Huko Brazili, kwa miaka 100 Pekupeku walianzisha kanda mbili (1657, 1675). Katika karne XVII waliingia pia Wakapuchini na Waoservanti kufanya kazi hasa kwa Wahindi Wekundu, halafu kwa Wanegro na Wazungu. Wafransiskani wengine walifanya kazi katika makoloni ya Waingereza Marekani Magharibi, ingawa mmojammoja tu, halafu Wakapuchini waliingia katika makoloni ya Wafaransa visiwani, Guyana na Marekani ya Kati (1722), wakafanya kazi miaka mingi Panama, Haiti, Trinidad n.k. Hata Kanada wamisionari wa kwanza walikuwa Ndugu Wadogo (Warekoleti kuanzia mwaka 1615, halafu Wakapuchini): misheni zao zilifungwa kila mara maeneo ya Wafaransa yalipotekwa na Waingereza.