Top 10 similar words or synonyms for unyevunyevu

alveoli    0.809369

ubaridi    0.798079

hukusanyika    0.793570

hubebwa    0.791093

glucose    0.787258

kapilari    0.786162

misusumo    0.779977

inayobadilika    0.779342

inapokelewa    0.778820

inabidi    0.775130

Top 30 analogous words or synonyms for unyevunyevu

Article Example
Urusi Usimbishaji katika sehemu nyingi za Urusi si mkubwa kwa sababu maeneo mengi yako mbali na pwani, hivyo hayapokei hewa yenye unyevunyevu kutoka bahari.
Jiografia ya Urusi Usimbishaji katika sehemu nyingi za Urusi si mkubwa kwa sababu maeneo mengi yako mbali na pwani na hivyo hayapokei hewa yenye unyevunyevu kutoka bahari.
Maradhi ya zinaa Magonjwa ya zinaa huambukizwa na wakala wa magonjwa – bakteria wadogowadogo, virusi, parasites, fungi na protozoa wakaao katika sehemu vuguvugu na zenye unyevunyevu katika mwili kama vile sehemu za siri, mdomoni na kooni. Magonjwa mengi ya zinaa husambaa wakati wa kujamiiana (katika uke au mkunduni), lakini aina nyingine za kukutana kimapenzi kama kwa kutumia midomo ("oral sex") zinaweza kusambaza magonjwa.
Tetanasi Pepopunda hutokea katika sehemu zote za dunia lakini hutokea mara nyingi zaidi katika hali ya anga iliyo joto na iliyo na unyevunyevu pale ambapo udongo huwa na viumbe hai. Katika mwaka wa 2013 ilisababisha takribani vifo 59,000 – idadi iliyopungua kutoka 356,000 katika mwaka wa 1990. Maelezo ya ugonjwa huu na Hippocrates yamekuwa kutoka angalau karne ya 5 BCE. Kisababishi cha ugonjwa kiligunduliwa katika mwaka wa 1884 huku chanjo ikianzishwa katika mwaka wa 1924.
Wasangu (Tanzania) Ugonjwa mwingine unaowasumbua sana watu waishio katika mbuga hizi ni homa ya mbu. Mbu nao huzaliana kwa wingi sana kwa sababu ya unyevunyevu mwingi unaopatikana katika mbuga hizi — hasa katika mashamba ya mpunga ambayo yana maji ya kumwagilia mashamba yakaayo kwa muda mrefu hata kuwawezesha mbu kuzaliana kwa muda mrefu sana. Penye maji yaliyosimama ndipo mbu huzaliana haraka sana na kwa urahisi mno. Kama nilivyosema hapo juu, mbuga za Usangu zina matopematope mengi na madimbwimadimbwi mengi yaliyokwama ambayo yanafaa sana kwa mbu kuzaliana.
Dhoruba Kuna aina nyingi na majina ya dhoruba: "dhoruba ya barafu", "dhoruba ya theluji", "dhoruba baharini", moto, n.k. Dhoruba ziitwazo dhoruba za ngurumo zinakua katika maeneo yenye joto na unyevunyevu, kama ya India. Joto la kupanda linazalisha upepo wenye nguvu ya uelekeo wa juu. Upepo huu hubeba matone ya maji juu, ambapo hufungia, na kuanguka tena. Katika harakati ya kuanguka, matone ya maji pamoja na kupanda juu kwa hewa kuunda mwanga na sauti.
Delta la Nile Delta la mto Nile lina tabia za kimediterrania, ambayo huwa na sifa ya mvua kidogo, kiais cha mililita 100 hadi 200 kwa wastani wa mwaka na hata hivyo mvua hizi hunyesha wakati wa miezi ya baridi. Eneo la delta huwa na kipindi cha joto katika miezi ya Julai na Agosti kiasi cha nyuzijoto 30 °C hadi nyuzijoto 48 °C. Kipindi cha baridi huwa ba kiasi cha nyuzijoto of 10° hadi 19 °C. Eneo la delta huwa na hali ya unyevunyevu katika kipindi cha miezi ya baridi. Eneo la Delta limekuwa likimong’onyoka kwa wastani wa kilometa 50 per year
Chungwa Michungwa huweza kukuzwa maeneo yenye joto na hata yale yenye baridi. Kama ilivyo kwa matudna mengine ya citrus, ili kupata mazao mazuri haina budi kukuza michungwa katika joto la 15.5 °C - 29 °C. Miti ya machungwa iliooteshwa kutokana na mbegu zilizonunuliwa madukani inaweza kuwa tofauti kabisa na ile miti ya asili iliyozalidha mbegu hizo. Hii hutokana na mabadiliko ya kizazi yanayotokana na kuchanganywa mbegu kisayansi kwa muda mrefu. Ili kupata mmea wa mchungwa kama tunda ulilolininunua, huna budi kuitunza mbegu hiyo kwenye unyevunyevu kisha tu baada ya kuzitua kwenye tunda na kuziotesha katika hali ya unyevu; na pindi mmea uchipuapo hapo ukapandwe kwenye udongo kusudiwa.
Magonjwa ya Kuku Ugongwa huu hupona haraka kama matibabu yaanza mapema. Mfugaji amwone haraka bwana mganga wa wanyama aliye karibu naye, ili amshauri dawa ambazo zinatumika, kwa sehemu mbalimbali. Uzingatiaji wa masharti ya dawa ni jambo muhimu sana. Kuushinda ugonjwa huu kunategemea usafi wa mfugaji. Mfugaji inampasa ahakikishe kuwa haruhusu unyevunyevu kwenye takataka zinazowekwa ndani ya chumba kwa kulalia kuku, hasa kwenye nyumba ya kulelea vifaranga sehemu ambazo humwagwa sana maji ovyo kuzunguka vyombo vya maji. Sehemu hizi ni lazima zitupiwe macho mara kwa mara. Ikiwezekana vyombo vya maji na chakula viwekwe kwenye chakula au maji.
Mapinduzi ya Viwandani Nadharia nyingine ni kuwa Uingereza iliweza kufanikiwa katika Mapinduzi ya Viwandani kwa sababu ya kuwa na rasilimali muhimu. Nchi ya Uingereza Ilikuwa na idadi kubwa ya wakazi katika kila eneo mraba ikilinganishwa na umbo lake ndogo la kijiografia. Kupimwa kwa ardi iliyotumika na kila mtu na mapinduzi ya kilimo yanayohusiana na hili kulisababisha kupatikana kwa wafanyikazi kuwe rahisi. Kulikuwa na bahati ya kupata maliasili katika maeneo ya Kasakazini mwa Uingereza, Maeneo ya Kati ya Uingereza, Wales ya Kusini na maeneo tambarare ya Scotland. Usambazaji wa makaa ya mawe, chuma, risasi, shaba, bati, chokaa mawe na nguvu za maji, kulisababisha mazingira bora ya kuendeleza na kupanua viwanda. Pia, hali za hewa ya unyevunyevu, na hali ya hewa isiyo kali ya eneo la Kaskazini Magharibi mwa Uingereza zilikuwa mazingira bora ya kuzungusha pamba, huku zikiwapatia Waingereza sehemu ya kimaumbile ya kuanza kuanzisha kiwanda cha nguo.