Top 10 similar words or synonyms for unesco

urithi    0.687622

world    0.594705

limetangazwa    0.590211

imeandikishwa    0.586295

ramani    0.554558

officiel    0.535592

masahihisho    0.534570

qs    0.529662

unep    0.528502

index    0.523200

Top 30 analogous words or synonyms for unesco

Article Example
UNESCO Kisheria UNESCO ni shirika la kujitegemea lenye madola wanachama 191.
UNESCO Kati ya shughuli muhimu za UNESCO mojawapo ni Orodha la Urithi wa Dunia linalojumlisha mahali penye umuhimu wa pekee kihistoria, kisayansi au kiutamaduni.
UNESCO UNESCO ni kifupisho cha United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization yaani Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa.
UNESCO Nchi zote zina mahali angalau moja orodhani, nyingine zina pengi, hasa Italia na Hispania.
UNESCO Ni kitengo cha Umoja wa Mataifa ambacho kinashughulika habari za elimu, sayansi na utamaduni duniani.
UNESCO-IHE Ni taasisi kubwa zaidi ya elimu ya maji duniani, na taasisi pekee katika mfumo wa Umoja wa Mataifa iliyopewa mamlaka ya kutoa shahada za uzamili katika sayansi.
UNESCO-IHE UNESCO-IHE ni kifupi cha "United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization - Institute for Hydrological Education", au Taasisi ya Elimu ya Maji ya UNESCO.
UNESCO-IHE Taasisi ya Kimataifa ya maji, UNESCO-IHE ipo katika mji wa Delft nchini Uholanzi (Netherlands), na inamilikiwa na nchi zote wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Ilianzishwa kama taasisi la daraja la kwanza kwa mujibu wa UNESCO kwa ushirikiano na Serikali ya Uholanzi.
UNESCO-IHE Tangu ianzishwe mwaka 1957, taasisi ya IHE -kama ilivyojulikana- imeshatoa stashahada kwa wataalamu(wahandisi na wanasayansi) zaidi ya elfu kumi na nne( 14,000) wengi wao kutoka nchi zinazoendelea, za mpito zinazowakilisha nchi mia moja na sitini(160) (Wahandisi na wanasayansi) karibu kabisa kutoka zinazoendelea / mpito ya nchi, anayewakilisha 160 nchi. Na imeshatunuku shahada ya falsafa (PhD) kwa watahini za sabini na tano(75),na kufanya utafiti mblimbali na kujenga uwezo wa kitaalamu katika miradi duniani kote.
UNESCO-IHE Majukumu ya UNESCO-IHE yanaainishwa kama ifuatavyo :