Top 10 similar words or synonyms for umeimbwa

akish    0.946341

stretch    0.943461

noise    0.940539

siedah    0.939555

heavy    0.937999

jazzy    0.936473

gimme    0.935787

sandy    0.935557

frankie    0.935402

busta    0.934444

Top 30 analogous words or synonyms for umeimbwa

Article Example
Mandy (wimbo) Wimbo huu pia umeimbwa na kundi la Westlife.Wimbo wa "Mandy" ilikuwa nu single ya pili kutoka katika albamu yao ya Turnaround.
Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo) "Single" ni wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya kundi la muziki la New Kids on the Block, "The Block", ambao umeimbwa pamoja na Ne-Yo.
Historia ya makabila mbali mbali tanzania Umeimbwa pia katika nchi zingine, kwa mfano Zimbabwe na Namibia, na labda hata Botswana, Lesotho Swaziland, na Malawi kwa miaka mingi.
Poxi Presha Alikuwa pia ni MC wa kundi la Nairobi City Ensemble, ambalo ndilo lilitoa albamu ya "Kaboum Boum", ilokuwa na mrudio wa wimbo wa "Lunchtime", awali wimbo huo maarufu ulikuwa umeimbwa na mwimbaji wa benga Gabriel Omolo.
U.N.I.T.Y. "U.N.I.T.Y" ni jina la kutaja wimbo ulioshinda Tuzo za Grammy - ambao umeimbwa na rapa/mwigizaji Queen Latifah kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1993, "Black Reign". Kibao kilitolewa mnamo tarehe 6 Januari, 1994, anakemea masuala ya utovu wa nidhamu dhidi ya wanawake, anagusia masuala ya kero za mtaani, unyanyasaji majumbani, na kutoa la moyoni juu ya wanawake wanavyochukuliwa katika tamaduni ya hip-hop.
21 Questions "21 Questions" ni wimbo ulioimbwa na rapa 50 Cent. Nyimbo pia imemshirikisha rapa mwingine Bw. Nate Dogg, ambaye ametia vionjo kadhaa katika nyimbo. Sana-sana katika kiitikio, lakini katika kutaja wimbo huu haitajwi kama wimbo umeimbwa na 50 Cent na Nate Dogg, yeye aliuza sura tu.
Zangalewa Zangalewa (Zamina mina, kwa jina lingine) ni wimbo uliorekodiwa mwaka wa 1986 na kikundi cha densi cha Zangalewa (Bendi la Muziki). Wimbo huu unajulikana nchi karibu zote za Afrika, na kutumiwa na skauti, polisi na wanajeshi wa nchi hizo haswa katika mazoezi yao. Umeimbwa katika lugha kadhaa zinazopatikana nchi za Afrika Magharibi.
She's Out of My Life "She's Out of My Life" ni wimbo uliotungwa na mwanamuziki Tom Bahler. Alitunga wimbo huu kuhusu Karen Carpenter, aliyeachana na Bahler baada ya kugundua kwamba amezaa mtoto na mwanamke mwingine. Wimbo huu umeimbwa tena na wasanii kibao. Wasanii hao ni pamoja na: Michael Jackson, Patti LaBelle, Ginuwine, 98 Degrees, Jon Lee, Barbara Mandrell, Willie Nelson, na Josh Groban.
2 of Amerikaz Most Wanted "2 of Amerikaz Most Wanted" ni wimbo wa hip hop uliotungwa na 2Pac, Snoop Dogg na Daz Dillinger kwa ajili ya albamu mbili za pamoja za 2Pac, "All Eyez on Me". Wimbo umeimbwa na watu wawili ambaye ni 2Pac na Snoop Dogg. "2 of Amerikaz Most Wanted" ulitolewa kama wimbo wa promosheni na ulitolewa kama single ya pili kutoka albamu , baada ya "California Love". Wimbo umeshika nafasi ya 46 kwenye "Billboard" Hot R&B/Hip-Hop Airplay.
Come On Over "Come on Over" ni wimbo ulioshinda katika Grammy Awardambao umeimbwa na mwimbaji kutoka Canada Shania Twain. Ilikuwa Single ya tisa kwa country adio na pia iliipa jia albamu yake ya 1999 "Come on Over". Ulitungwa na Twain na aliyekuwa mumewe wakati huo, Mutt Lange. Ilitolewa mara ya kwanza kwa redio za Country za Amerika Kaskazini mwishoni mwa 1999. Wimbo huu ulinawili hadi kushinda tuzo la Grammy mnamo 2000.. Baadaye wimbo huu ulishirikishwa katika albamu ya 2004 ya Twain "Greatest Hits"