Top 10 similar words or synonyms for ugolino

inosenti    0.843191

bonaventura    0.842972

elia    0.817050

benedikto    0.813270

klementi    0.812298

guzman    0.811860

sixtus    0.805900

xv    0.804516

alimfanya    0.803397

dogma    0.799243

Top 30 analogous words or synonyms for ugolino

Article Example
Papa Gregori IX Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino dei Conti.
Klara wa Asizi Kumbe Inosenti IV akathibitisha katiba ya Ugolino (1245) na kusisitiza ifuatwe kanuni ya Benedikto kwa sababu ina sifa nyingi.
Klara wa Asizi Alitunga kanuni mpya kwa kuchanganya “mtindo wa maisha” alioandika Fransisko na katiba ya Ugolino, akamuomba Gregori IX, halafu Papa Inosenti IV (1243-1254) waithibitishe, lakini akakataliwa.
Klara wa Asizi Mwaka 1247 Inosenti IV akatunga katiba mpya badala ya ile ya Ugolino iliyokwishaenea katika monasteri zote za Kifransisko, ikitumika pengine pamoja na desturi maalumu za mahali.
Klara wa Asizi Mwanzoni Ugolino alitaka msimamo huo udumu katika monasteri kadhaa, ila alipochaguliwa kuwa Papa akaanza kuzipatia mali nyinginyingi, labda kisha kung’amua matatizo yaliyojitokeza.
Ndugu Wadogo Akipokea ombi lao, Papa Gregori IX (1227-1241) alitoa tamko rasmi la kwanza juu ya kanuni (1230), akitumia mamlaka yake ya Kipapa na hasa ujuzi wake wa nia ya Fransisko (ndiye aliyemsaidia kutunga kanuni alipokuwa bado Kardinali, jina lake Ugolino).
Klara wa Asizi Kardinali Ugolino, akiona monasteri za namna hiyo zinavyoongezeka huko na huko, alizitungia katiba (1219) iliyopitishwa na Papa Honori III (1216-1227) ambayo ikawa msingi wa kanuni zote zilizoandikwa baadaye kwa Utawa II.
Yohane Parenti Akipokea ombi lao, Papa Gregori IX (1227-1241) alitoa tamko rasmi la kwanza juu ya kanuni (1230), akitumia mamlaka yake ya Kipapa na hasa ujuzi wake wa nia ya Fransisko (ndiye aliyemsaidia kutunga kanuni alipokuwa bado Kardinali, jina lake Ugolino).
Klara wa Asizi Fransisko alipokuwa Mashariki ya Kati, Filipo Longo aliteuliwa msimamizi wao, lakini mwanzilishi aliporudi uteuzi huo ukafutwa, masista wakasimamiwa tena na wasio Wafransisko, mpaka Ugolino, kisha kuchaguliwa awe Papa Gregori IX (1227-1241) alipowalazimisha Ndugu Wadogo kuwajibika (1221).
Fioretti Fioretti (kwa Kiitalia maana yake ni Maua Madogo, yaani Visimulizi Bora) ni kitabu maarufu kuhusu Fransisko wa Asizi na wenzake kilichotafsiriwa mwishoni mwa karne ya 14 kutoka kile cha Kilatini Actus beati Francisci et sociorum eius, kinachodhaniwa kuwa kiliandikwa na Ugolino Brunforte (1262 hivi – 1348 hivi).