Top 10 similar words or synonyms for ualimu

udaktari    0.836534

alisoma    0.793537

ufundi    0.793101

kusomea    0.790514

amesoma    0.768858

theolojia    0.767722

uzamili    0.765779

diploma    0.749688

akisomea    0.746621

kufundisha    0.742853

Top 30 analogous words or synonyms for ualimu

Article Example
Ualimu wa kanisa Ule wa kawaida ndiyo namna ambayo Papa wa Roma na Maaskofu wenzake wanatoa mafundisho yao siku kwa siku kwa njia ya hotuba, barua na maandishi mengine.
Ualimu wa kanisa Kumbe ule usio wa kawaida unatolewa kwa fahari ya pekee, kwa mfano katika Mtaguso mkuu au katika tamko rasmi la kudumu linalotolewa na Papa kwa niaba ya Maaskofu wote.
Ualimu wa kanisa Ualimu wa Kanisa katika imani ya Wakatoliki linamaanisha mamlaka ya Kanisa, kupitia hasa maaskofu wake, katika kufundisha imani na maadili ili kudumisha, kustawisha na kueneza karne hadi karne hazina ya imani iliyofunuliwa na Mungu hasa katika Yesu Kristo na kukabidhiwa kwa Mitume wake.
Ualimu wa kanisa Ualimu huo unaweza kuwa wa kawaida na usio wa kawaida.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere Nakushukuru wewe na Mapadri wengine kutokana na kushirikiana nami siku zote. Nitazihitaji sala zenu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo nyuma. Endelea, Padri, kuniombea.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere Katika hotuba yake Nyerere alitilia mkazo sera ya TANU kuhusu mahusiano mema baina ya Waafrika na watu wa mataifa mengine na aliwaonya wanachama wa TANU ambao walikuwa wameanza kuwabagua watu wa rangi tofauti kuwaambia kuwa hivyo haikuwa sawa. Alisisitiza juu ya umoja miongoni mwa wananachi na hatimaye aliwadhihaki wasikilizaji kwa kuwauliza ikiwa wangesubiri kwa miaka ishirini na tano kuwa huru. Halaiki hiyo ya watu kwa pamoja ilipiga kelele, "hapana". Wananachi kwa pamoja walijibu kwa sauti kubwa wakisema walitaka uhuru kesho au kesho kutwa.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere Nyerere ambaye alikuwa akiogopa kuchukua uongozi wa TANU tangu 1953 alikuwa amefarajika sana na mshikamano huu ulioonyeshwa na wananchi. Sasa ilikuwa dhahiri kwake kwamba rafiki yake Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz, Rupia na uongozi mzima wa TANU pamoja na lile Baraza la Wazee lilikuwa limemsafishia njia kuongoza harakati kwa niaba yao. Lakini Padri Walsh na Wamishionari katika shule ya Mtakatifu Francis, Pugu, walitazama harakati hizi kwa mtazamo mwingine kabisa. Wamishionari hawakuweza tena kumvumilia Nyerere kuwa mmoja wa walimu katika shule yao. Hatima ile ile iliyowasibu wazalendo wengine kabla yake sasa ilimkabili Nyerere. Aliambiwa ama abakie mtumishi mtiifu wa kanisa au ajiuzulu; Kanisa halikuweza kukaa kimya na kumuangalia Nyerere akiwatumikia mabwana wawili.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere S. Francis College, Pugu, 22 Machi, 1955.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere Hotuba aliyotoa Nyerere siku ile pale Mnazi Mmoja ambapo aliwaeleza watu kuhusu safari yake kwenda Umoja wa Mataifa ilikuwa ndiyo mwanzo hasa wa historia mpya ya Tanganyika. Kabla ya hapo Waafrika wa Tanganyika hawakupata kuonyesha shauku na matumaini katika mustakbali wao. Katika viwanja vya Mnazi Mmoja Nyerere aliwaeleza halaiki ya watu wenye furaha na waliokuwa wakimsikiliza kwa makini kuwa miongoni mwa mataifa kumi na mbili yanayounda Baraza la Udhamini saba kati yao yalitoa idhini kuwa muda wa utawala wa ndani wa Tanganyika utakapowadia, Waafrika lazima wapewe nchi yao.
Barua ya kujiuzuru ualimu ya Julius Kambarage Nyerere Nyerere alilipeleka tatizo hili kwa Clement Mtamila, Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya TANU. Mtamila aliitisha mkutano wa kamati kuu nyumbani kwake mtaa wa Kipata na TANU ilijadili tatizo hilo. Miongoni mwa wajumbe wa kamati ile mbali na Rupia na Kambona walikuwa Bibi Titi Mohamed na Bibi Tatu bint Mzee. Kamati Kuu ya TANU ilimshauri Nyerere ajiuzulu. Tafarani hii ilitokea wiki chache tu baada ya kurudi kutoka Umoja wa Mataifa katika wiki za mwisho za mwezi Machi. Tarehe 23 Machi, 1955 Nyerere alijiuzulu ualimu. Ilikuwa adhuhuri Nyerere alipokuja Dar es Salaam kutoka Pugu, akiwa si mwalimu wa shule tena. Inasemekana aliposhuka tu kwenye basi alikwenda moja kwa moja ofisini kwa Abdulwahid katika soko la Kariakoo kumpasha habari rafiki yake. Nyerere alikaa na Abdulwahid katika nyumba yake namba 78 Mtaa wa Stanley. Baadaye kidogo Nyerere alirudi kijijini kwake huko Musoma. John Hatch alipokuja Dar es Salaam kwa mwaliko wa TANU Nyerere alikuwa kwao kijijini. Utaona hapo baadaye kidogo jinsi mgeni huyu Mwingereza alivyomgutusha Schneider Abdillah Plantan kuhusu TANU kuwashirikisha wanawake katika harakati za kudai uhuru."