Top 10 similar words or synonyms for triptofani

fenilalanini    0.913019

glisini    0.906736

ssris    0.895658

snris    0.892926

kihadza    0.885231

kipagibete    0.882874

kijorto    0.881475

kiginyanga    0.880068

kinyabemba    0.879668

kindombe    0.878005

Top 30 analogous words or synonyms for triptofani

Article Example
Amino asidi Amino asidi hutumika kwa njia nyingi tofauti viwandani lakini matumizi yao makuu ni kama viziada vyachakula cha mifugo. Hii ni muhimu kwani sehemu kuu ya vyakula hivi, kama vile soya, aidha ina viwango vya chini au hukosa baadhi ya amino asidi muhimu: lisini, methionini, threonini, na triptofani ni muhimu katika uzalishaji wa vyakula hivi. Sekta ya chakula pia ni mtumizi mkubwa wa amino asidi, hasa asidi glutamiki , ambayo hutumiwa kama kiongeza ladha, na Aspartami (aspartili-fanilalanini-1-methili esta) kama kiongeza tamu bandia cha kalori kidogo. Uzalishaji uliosalia wa amino asidi hutumika katika usanisi wa madawa na vipodozi.
Amino asidi Amino asidi ni molekiuli zilizo na kikundi cha amaini, kikundi cha asidi ya kaboksili na mnyororo wa upande ambao unatofautiana katika amino asidi mbalimbali. Molekiuli hizi zina vipengele muhimu vya kaboni, haidrojeni, oksijeni, na naitrojeni. Molekiuli hizi ni muhimu sana hasa katika bayokemia, ambapo neno hili kwa kawaida huashiria amino asidi alfa zilizo na fomula ya jumla HNCHRCOOH, ambapo R ni kibadala cha kiogani. Katika amino asidi alfa, kikundi cha amino kimeunganishwa na atomu ya kaboni kinachopakana na kikundi cha kaboksili (kaboni ya α), lakini kumbuka kwamba aina nyingine za amino asidi huwepo wakati kikundi cha amino kimeunganishwa kwa atomu nyingine ya kaboni (kwa mfano, katika asidi za amino za gama kama vile amino asidi butireti ya gama atomu ya kaboni ambapo kikundi cha amino hujiunga hujitenga kutoka kwa kikundi cha kaboksili na atomu zingine mbili). Amino asisi za alfa zinatofautiana katika upande ambao mnyororo (kikundi R ) unapounganishwa na kaboni yao ya alfa na hizi zinaweza kutofautiana kwa ukubwa kutoka kwa atomu moja tu hidrojenikatika glaisini au kikundi cha methili katika alanini, hadi kwa kundi kubwa la heterosaikliki katika triptofani.