Top 10 similar words or synonyms for tragulus

javanicus    0.960046

johnstoni    0.959467

hartebeest    0.955280

pangolin    0.954281

versicolor    0.954250

dama    0.954105

brocket    0.953002

kirkii    0.951753

kobus    0.951537

myosorex    0.950593

Top 30 analogous words or synonyms for tragulus

Article Example
Paa-chonge Paa-chonge ni wanyama wadogo wa familia Tragulidae katika oda Artiodactyla. Spishi kadhaa za paa-chonge ni wanyama wadogo kabisa miongoni mwa oda hii. Wapewa jina lao kwa sababu wana chonge zilizorefuka. Zile za madume ni ndefu sana na zinachomoza nje kutoka kila upande wa utaya wa juu na hutumika wakati wa mapigano. Paa-chonge hawana pembe lakini wana miguu mifupi na myembamba yenye vidole vinne. Manyoya yao yana rangi ya kahawa au kahawianyekundu na tumbo ni jeupe. Wana michirizi na madoa meupe au njano isipokuwa spishi za jenasi "Tragulus". Spishi moja inatokea misitu ya mvua ya Afrika lakini spishi nyingine zinatokea misitu ya Asia ya Kusini na ya Kusini-Mashariki. Hula nyasi na majani, lakini paa-chonge wa Afrika hula wadudu, kaa na mizoga ya wanyama na samaki pia.