Top 10 similar words or synonyms for too

much    0.968917

gone    0.960937

easy    0.956640

again    0.956200

stand    0.956116

still    0.955722

hard    0.954280

featuring    0.953274

dirty    0.952546

tha    0.951980

Top 30 analogous words or synonyms for too

Article Example
Too Gone Too Long Wakati mpenzi wa zamani anaporudi akijuta, msimulizi anamwambia kuwa ana mpenzi mpya na kuwa yeye alikuwa ameenda kwa muda mrefu sana na hangestahili kurudi nyumbani.
Too Gone Too Long "Too Gone Too Long" ni kichwa cha wimbo uliotungwa na Gene Pistilli na kutayarishwa na msanii wa miondoko ya country Randy Travis.
Too Gone Too Long "Too Gone Too Long" ilishikilia nafasi ya kwanza katika juma la 12 Machi 1988 katika chati zote za Country Single.
Too Gone Too Long Ilikuwaw single ya tatu kutolewa kutoka kwa albamu yake "Always & Forever". Iliibuka kuwa hit #1 ya tano nchini US. Ilifikia kilele katika nafasi ya kwanza katika chati za "Billboard" Hot Country Singles & Tracks na ile ya Canada ya "RPM" country Tracks.
Too Much Too Much inaweza kutaja:
Too Much (wimbo) "Too Much" ni jina la wimbo uliotoka 15 Julai, 2016 wa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - Darassa. Wimbo umetayarishwa na Mr. T. Touch. Huu ndio wimbo ambao huhesabiwa kama ujio mwingine au wa kivingine wa Darassa tangu Kama Utanipenda na zile za nyuma kabla ya hii. Kuanzia hapa, Darassa alibadili muundo wa kutambaa na michano tofauti na awali. Tangu wimbo huu, Darassa ameamsha hisia za watu kila kona ya Tanzania. Hata baada ya kutoa Muziki alizidi kupendwa zaidi.
Gone Too Soon "Gone Too Soon" ni wimbo hasa ulioimbwa na mwanamuziki Michael Jackson. Ni wimbo wa tisa kuchukuliwa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, "Dangerous". Ilishika nafasi ya #33 kwenye chati za UK Singles Chart mnamo mwezi wa Desemba 1993.
Thugs Get Lonely Too Toleo la awali la "Thugs Get Lonely Too" limechukua sampuli ya wimbo wa "If I Was Your Girlfriend" wa Prince. Jina la wimbo pia linafana kabisa na kibao kiitwacho 'Gigolos Get Lonely Too' w The Time, uliotungwa na Prince.
Thugs Get Lonely Too Pia kuna toleo ambalo halikutolewa lina-kwenda kwa jina la "Thugs Get Lonely 2" ambalo lilikuwepo tangu siku za mwanzo za 2pac ambalo pia limemshirikisha rapa kutoka mjini Kansas City, Tech N9ne.
Gone Too Soon Wimbo huu alimwimbia kijana mmoja aliyeathirika na kufa na ugonjwa wa Ukimwi, Ryan White, ambaye Jackson alikuwa na urafiki naye kabla ya kifo chake.