Top 10 similar words or synonyms for tha

featuring    0.975279

thugs    0.969663

rhymes    0.968885

goodbye    0.967838

interlude    0.967795

still    0.967782

busta    0.966143

hard    0.965618

nothing    0.965527

luv    0.965104

Top 30 analogous words or synonyms for tha

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Tha Trademarc Mnamo Agosti 2007, Trademarc alionekana katika miereka ya Total Nonstop Action Wrestling, ‘’Hard Justice’’ kama ‘’Mpenzi mpya’’ wa Karen Angle, ambayo baadaye ilithibitishwa kuwa uvumi wakati Karen na Trademarc walimsaidia bwanake Kurt Angle kushinda mechi. ..
Tha Trademarc Alionekana tena katika iMPACT! wiki iliyofuatia .. Akiendelea kufanya kazi na TNA, alitoa wimbo wa kiingilio wa Kurt Angle ‘’Gold Medal’’ ambao aliufanya kwa kuchanganya rap kutoka Lunatic Fringe na utunzi wa TNA wa "My Quest" . Mnamo 2008 alitoa solo Albamu yake ya kwanza Inferiority Complex.
Tha Trademarc Mnamo Aagosti 2008 Trademarc aliungana na wasanii wa rap kutoka Massachusetts Esoteric na DC The Mid Alien kuunda kundi la East Coast Avengers. Albamu yao ya kwanza ilitoka baadaye 2008 ikiitwa "Prison Planet". Kufikia sasa wametoa single iliyo na utata ya "Kill Bill O'Reilly" wakionyesha kuudhika kwao kwa msimulizi wa maswala ya siasa Bill O'Reilly na show yake katika televisheni ya Fox News Channel .
Tha Trademarc Katika wimbo huu wanaongelea jinsi O’Reilly huongea uongo na kubadili ukweli mara kwa mara. Uchambuzi wa wimbo huo na Michelle Malkin uliwafanya kutoa wimbo mwingine wa "Dear Michelle" kama jibu. .. Wametoa pia wimbo mwingine uitwao "Hey America".
Tha Trademarc Marc Predka (aliyezaliwa 21 Aprili 1975), ambaye anajilikana kwa jina la kisanii kama Tha Trademarc, ni mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani. Mara ya kwanza kujulikana kwa umaarufu ilikuwa wakati yeye na binamu yake wa kwanza mwanamiereka wa WWE John Cena walishirikiana mnamo 2005 kutoa albamu "You Can't See Me". Pia anaonekana katika video za nyimbo , ‘’Bad Bad Man’’ na ‘’Right Now’’ ambazo amefanya na John Cena. Leo hii yeye hufanya kazi katika kitengo cha elimu ya waiosjiweza katika Shule ya Maynard kule Maynard, Massachusetts.
Runnin' (From tha Police) Runnin' (From Tha Police) ni wimbo wa 1995 ulioimbwa na rapa Tupac Shakur, akishirikiana na The Notorious B.I.G., Stretch, Dramacydal na Buju Banton. Wimbo huu huoenekana kama muhimu kwa sababu ni moja kati ya nyimbo zilizofanywa pamoja baina ya 2Pac na The Notorious B.I.G. kabla ya kuja kuwa maadui hapo baadaye, ambapo ilipelekea kuto-rekodi nyimbo pamoja tena hadi kufa kwao.
Runnin' (From tha Police) Mstari wa kwanza unaimbwa na mtu wa tatu katika kundi la watu nne Dramacydal ambaye baadaye kaenda kujiunga na kundi la 2Pac la Outlawz (Yaki Kadafi, Kastro, na E.D.I. Amin), ya pili imeimbwa na Stretch na The Notorious B.I.G., na ya tatu na ya mwisho imeimbwa na 2Pac, huku Buju Banton akiimba kiitikio.
Runnin' (From tha Police) Wasanii wanne wa katika wimbo huu wameuawa, 2Pac, Biggie, Yaki Kadafi, na Stretch.
Live at the House of Blues (Tupac Shakur) Ndani ya albamu kuna marapa kama vile Snoop Dogg, Tha Dogg Pound, Nate Dogg, na Outlawz.
Xzibit Xzibit alikuwa kama mwanachama flani hivi wa kundi la "the Likwit Crew", Pia hao ni moja kati ya wanachama wa "West Coast rappers", akiwemo Tha Alkaholiks na King T.