Top 10 similar words or synonyms for terror

squad    0.976421

murder    0.941864

rhymes    0.937767

tha    0.937558

dolls    0.937312

presents    0.936412

qwest    0.935831

goodbye    0.935629

kool    0.935593

smile    0.935245

Top 30 analogous words or synonyms for terror

Article Example
Terror Squad Walitoa albamu yao ya kwanza iliyojulikana kwa jina la Terror Squad, kunako 1999, ikiwa imeambatana na kibao chao cha kwanza kilichokwenda kwa jina la "Whatcha Gon' Do", ambacho kiliimbwa zaidi na Big Punisher, ambaye alifariki dunia kwa tatizo la ugonjwa moyo manmo mwa 2000. Baada ya kifo cha Big Pun, washikaji zake wa toka kitambo Bw. Cuban Link na Triple Seis, wakajitoa katika kundi na badala yao nafasi hizo zikawa nimeshikiliwa na Remy Martin na Tony Sunshine.
Terror Squad Terror Squad ni kundi la muziki wa hip hop na pia studio kutoka mjini Bronx, New York, ambalo lilianzishwa mnamo mwaka 1998 kwa kupitia kibao kimoja mashuhuri kinachotoka katika albamu ya Don Cartagena ya mwimbaji kiongozi wa kundi hilo Fat Joe.
Terror Squad Kama jinsi vile kundi lilivyo simama kwa kufuatia kifo cha Big Pun, wanachama wengi wa kundi hilo wakaangukia katika fumbo zito kwa kufuatia mafanikio makubwa alioyoyapata rapa mwenzao Fat Joe, akiwa kama msanii wa kujitegea na kuwashinda hata wale wenzake.
Terror Squad "Kwa matumizi mengine ya Terror Squad, angalia Terror Squad (maana)"
Terror Squad Kundi lilirudi tena ulingoni na wakafanikiwa kutoa albamu yao ya pili iliyokwenda kwa jina la True Story, mnamo mwaka wa 2004. Albamu ilibeba byimbo maarufu ya "Lean Back," ambayo ilitayarishwa na Scott Storch, na kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard Hot 100 bora na nafasi ya 24 katika UK.
Terror Squad (studio) Terror Squad (zamani iliitwa Terror Squad Entertainment) nis tudio ya kurekodia muziki wa hip hop na R&B iliyoanzishwa na msanii wa hip hop maarufu kama Fat Joe, mjini The Bronx, New York, Marekani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1992. Kazi za studio hiyo zilikuwa zikisambazwa na studio ya Relativity Records na Atlantic Records, lakini sasa, kazi za DJ Khaled zinasambazwa na studio ya Imperial Records na Virgin Records ya EMI.
Terror Squad (maana) Terror Squad inaweza kutaja maana zifuatazo:
Ugaidi katika Afrika Chini ya Sahara: Boko Haram na al-Shabaab Pejic, I. (2016). Terror in East Africa: Al Shabaab. Retrieved October 07, 2016, from https://southfront.org/terror-in-east-africa-al-shabaab/
Fat Joe Fat Joe pia anaendesha studio yake mwenyewe iitwayo Terror Squad Entertainment, ambapo huko ndiyo mmiliki na ndiyo msanii mkubwa katika studio hiyo na pia kuwa kama mwimbaji kiongozi wa kundi lake la muziki la Terror Squad, ambalo limeshehena baadhi ya wasanii wengine rap wa mjini New York.
DJ Khaled Daverneius Jaimes (DJ) Khaled (amezaliwa 26 Novemba, 1975 mjini New Orleans, Louisiana) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Khaled, ambaye ni Mpalestina-Mwamerika wa kwanza kusikika kushirikiana na msanii Lil Wayne na Birdman kutoka katika single ya Way Of Life. Huyu bwana ni DJ, mtayarishaji wa muziki na ni mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR. Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.